Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani nyie wanaume hebu acheni visingizio basi, mwaka unapita ooh bado naweka mambo yangu sana wa pili huo nao bado naweka mambo sawa tatu haya wa nne khaa. Ni mambo gani ayo yasoisha,alafu ayo...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Habarini wakuu Nina miaka27 nahitaji mrembo mrefu mweupe na awe na akili timamu, tuzae mtoto kuoana itategemea maelewano yetu mi mweusi futi 5.6. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau poleni na mihangaiko ya maisha. Kwa kifupi nilikuwa nadate na binti mmoja kabla hajahama kwenda mkoa mwingine, mara ya mwisho nimelala naye Jan 3 ya mwaka huu Jan 4 aliniambia yupo siku...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo cheap na huna misimamo wala...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wakuu. Upo na mwanamke kitandani unawaza mambo mia mbili kidogo.Unadaiwa kodi ya chumba ,mtoto anadaiwa ada,mchepuko unataka pesa,kazini nako hakueleweki muda wowote kinaweza kikanuka,una...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii inatokea sana haswa kwa wale wadada wenye makalio makubwa MTU utakuta kajipiga selfie ilimradi tu tako lake lionekane vizuri..Swali ni kwa wanajamvi wote haswa kwa wadada Wa humu MMU nn...
1 Reactions
111 Replies
32K Views
Nahtaji Mpenzi wa kike awe mnene.Mimi ni 23 years mrefu futi 6.0 na umbo la wastani kama upo serious ni PM Morogoro town.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kila siku mnataka tuwatafute ninyi tu,mjiongeze basi na nyie khaaa,kila siki boys tu,sio poa bwana haya anzeni na mimi now.Karibuni PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume halisi natafuta mke wa kuoa mwenye kazi yake,nitamheshimu nakutii kwa chochote atakacho nitafanya.Ila akubali kunitafutia kazi kwani sija ajiriwa bado.Nitashukuru sana sina...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekua nikisikia hili neno msichana mwenyewe wa uswazi, maana yake nini hasa au kuna vigezo gani vya msichana kuwa wa uswazi au kuku wa kienyeji. Msaada jamani.
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nilikuwa nakunywa bia yeye hakuwa ameniona hadi anafika na kukaa ktk ile bar,alikaa pembeni ya ile bar kabisa,dk 5 baadae tukawa tumekutanisha macho yetu,aliinuka kutoka pale alipokuwa amekaa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu, hebu pitieni pitieni ukurasa wa huyu binti huko facebook,then muangalie picha anazozibandika,then muangalie bandiko lake hili hapa: Fiderine Iranga JAMA jama nimechoka kutongozwa humu...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
HOW TO MAKE A WOMAN STICK TO YOU LIKE A TICK AND BEG FOR SEX 1• Always be the solution to her problems 2• If you send her to do shopping never ask for ask for change...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu wa damu kabisa wandugu ana mchumba wake ambaye anampenda sana,huyu rafiki yangu anakaa mitaa ya mbali ya mimi ninapoishi ila tunaonanaga pale inapo bidii na rafiki yangu huyu...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Hivi wanajamvi ukiwa na mwanamke asiyesikia kiburi anatukana na anayekosa na baada ya kosa anaomba msamaha kwa kunyenyekea sana na baada ya wiki au mwezi anarudia kosa lile lile au linalofanana na...
0 Reactions
84 Replies
12K Views
Ama kweli nimeamini watanzania hatupendi kuona mtu akipiga hatua moja kwenda nyingine, tofauti na wenzetu hawa ngozi nyeupe ambao wao kupigana tafu ni mambo ya kawaida sana katika life cycle yao...
7 Reactions
81 Replies
13K Views
Habari wanajamvi. Naomba ushauri nmekuwa na mchumba wangu takriban miaka minne lakin hatukuwa kufanya sex sababu ya umbali tulokuwa nao yeye yuko chuo ni mimi chuo baadae mimi nikamaliza chuo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Nataka mchumba kama yupo anayetafuta mume wa ndoa njoo hapa.sifa awe mrefu kiasi mweupe kiasi na mwenyeji wa pwani pia awe MUISLAM. Umri kuanzia 28 mpaka 32.sihitaji msomi sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi yapata miaka minne iliyopita nilipendana na binti mrembo mwenye asili ya Burundi,binti huyu alinipenda kweli kweli siku moja akaja kunitembelea ndo nilikuwa nimeanza kazi alisikitika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi Naomba mnisaide tu maswali yafuatao: 1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na...
5 Reactions
204 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…