I was tired of my lady, we'd been together too long.
Like a worn-out recording, of a favorite song.
So while she lay there sleeping, I read the paper in bed.
And in the personals column, there was...
Hii hali unaweza kuuitaje In a relation with married woman ambaye kwa kipindi chote cha mahusiano 4 years+ hajaonyesha hata chembe ya kuwa after material gain. Maximum mzinga was two years ago...
Yeyote wa kupeana ushauri, kuchati na kutembeleana if possible nitumie private message umri si tatizo. Maisha kujichanganya na watu katika different place si lazima mtoke sehemu moja
Habarini wanajamvi.
Michepuko husababishwa na vitu vidogo kama kununa, kiburi, kugomba na mambo mengine mengi hasa yakutokuelewana wakati wa tendo la ndoa. Leo atakuomba utamwambia unechoka,kesho...
Hii hasa kwa wadada mnapanga mechi mjarabu na mahabuba wako eti kwenda Hotelini ohh mi chips tu na yai moja,alafu ukienda mechi round moja ohh nimechoka ujue,nasema mtajakufa.Na nyie wanaume...
Nimetengana na mpenzi wangu sababu ya shughuli za kiuchumi ni mwezi wa saba sasa sijamtia machoni, sijui keshachukuliwa huko ama la,kila leo tunazungumza kwa simu tu na kufarijiana.
Wakuu mapenzi...
Habari wana jf
Kabla hujafikiria kutafuta mwenzi bora hakikisha kuwa wewe ni bora pia kwasababu sikuzote Mungu anakupa unachistahili na sio unachotamani.
Jambo hili lipo kwa wanaume na wanawake ila zaidi kwa wadada, kusindikizwa wanapoenda kukutana kimwili na wapenzi wao.Wasindikizaji ni wadogo zao wa kike wakati mwingine wakiume wadogo.
Hawa...
Kwa sasa npo mwanza maeneo ya IGOMA,so nahitaji girl friend wakuwanae,kikubwa awe mwaminifu na mwenye sifa zfuatazo:Awe mweupe au maji ya kunde,awe mrefu kiasi,awe mcha mungu,sitojali kiwango cha...
Siku hizi kuna biashara ya urembo ambapo wanawake huoshwa miguu na vijana wanaotoa huduma hiyo, unakuta mwanamama kaweka miguu juu anasafishwa sijui kucha sijui ni miguu haya.
Cha ajabu na...
Nimekuwa na tabia ya kutunza bajeti ya hela ninazohonga kwa kila msichana nikiwa naye hatua ya kwanza nikishatongoza tu ni kwenda kwanza kununua daftari la kuandika hela zote, zikiwemo hela za...
Najua mko poa.
Endelea kunishusha, kunipandisha, mimi nimekuwa huku nikiamini mtoto wa kike ni haki yake kulinga, kuwa na nyodo. Lakini basi isiwe too much, fanya nyodo kidogo, na kidogo kuwa na...
Hi people, its my hope all is well with u, im 25 years lady, graduate from Institute of accountancy Arusha, im here to search for matured guy to have relationship with.
I would like the man who...
Hapa tunapoishi amehamia mdada mmoja hivi mzuri ana umbo flani ambalo kiukweli ndo type zangu hizo, ana watoto wawili wa kiume. Lakini cha kushangaza hao watoto wake, yule mkubwa ana jina kama la...
I wont beat around the bush nor will I use nafsi ya tatu cause its me,way back in early 2011 nilikuwa nafanya kazi katika wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani, ikatokea nikawa namuona dada mmoja mara...
Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
Nianze na shukrani,asante mwanzilishi wa Jukwaa hili,Mungu akupe maisha marefu.
Nimepata mume mwema kwa kupitia hapa jukwaani saivi tunaendelea na process za ndoa.Ushauri kwa wale wanaotafuta...
Hii hali ya kinadada kujipiga tatoo ya majamaa zao kwenye maeneo ni ya kushangaza sana kwani tatoo hazifutiki kirahisi. Sasa kila jamaa utakaekuwa nae ukiweka tatoo si utaishia kuwa na lable kama...
Habari wana Jamii forums.
Mimi ni mwanaume bado sija ajiriwa natafuta rafiki wa kike tutae saidiana kutafuta kazi na kuanza maisha ya ndoa.Atakayekuwa tayari ani Pm naishi Dar es salaam nimepanga...