Sababu za michepuko

Sababu za michepuko

Joined
Mar 1, 2015
Posts
43
Reaction score
41
Habarini wanajamvi.

Michepuko husababishwa na vitu vidogo kama kununa, kiburi, kugomba na mambo mengine mengi hasa yakutokuelewana wakati wa tendo la ndoa. Leo atakuomba utamwambia unechoka,kesho utamwambia mawili mwisho wakati yeye anataka manne.

Kwa hiyo mambo ni mengi,ukiona mwanamke anachepuka ujue mume anatatizo na ukiona mwanaume anachepuka ujue mkewe hayuko sawa. Tusilalamike sana tujiangalie tunakosea wapi. Harufu ya sigara na pombe inawakera wanawake wengi.
 
Tusisahau kuambiana ukweli lakini kwanza.. Kama mwenzio anakuboa, ya nini ucmwambie tu? Kuchepuka ni final and evitable decision bhana
 
Naona unajaribu ku-justify kuchepuka.

Ulitakiwa ukae na mwenza wako kurekebisha tofauti zenu ila wewe umeonesha break ya kwanza ni kwa mchepuko.

Kitu ambacho si sahihi.

Unakuwa hujengi ila ni kubomoa zaidi.
 
Hakuna lolote zaidi ya tamaa, kuna watu wanafanyiwa hayo still wanachepuka tamaa za fisi tu hizo zingine bla bla
 
Hawa wanaume nao majipu ya kwapa unaijua ile nyimbo na issa matona? Jipu la kwapa ndio hawa...

Mi nasemaga hawaeleweki kama papuchi hata ukae nae vipi umpe mapenzi ya.njiwa mfatane kama kumbikumbi stil atatembeza tu kadude kake waiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom