samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Hii hasa kwa wadada mnapanga mechi mjarabu na mahabuba wako eti kwenda Hotelini ohh mi chips tu na yai moja,alafu ukienda mechi round moja ohh nimechoka ujue,nasema mtajakufa.Na nyie wanaume kuleni vizuri hasa.