ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 97
Assume wewe ni kijana wa kiume na unataka kuoa.
Una wapenzi wawili,,, mmoja unampenda saana lakini hana sifa unazotamani mke wako awe nazo,,,, na mwingine humpendi lakini ana sifa unazotamani mke wako awe nazo.
Je kati ya hawa wapenzi wawili utamchagua yupi na kwanini?!