Tabia za baadhi ya wanawake kwenye mahusiano

Tabia za baadhi ya wanawake kwenye mahusiano

eng.yumbu

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Mademu wengine wana lawama wakisikia boyfriend wakeamecheat atapiga kelele atamsuta na"umekosa nini mwanaume huridhiki.

Utamaliza nyama bucha ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka,kwani haikutoshi hii."

Anatokwa povu wakati Iini reality hakuna anachofanya,anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju.Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka kazi yote ufanye wewe.

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,unafinywa si kufinywa,unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau Mlango wa Banda.

Khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni.
ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa polee,halafu unapewa juisi ya embe huku unakunwakunwa ulale.

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo.Akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibania." Asipochepuka labda ni mhashamu askofu mwandamizi wa kigango cha mavurunza.


 
Hahahaaaa halafu wana mbwembwe kinoma!!!!
 
Hayo mashamu shamu unayoyataka wewe unakuwa umem motivate kiasi gani huyo mwanamke wako, jichunguze ww kwanza kabla hujataka kupetiwapetiwa
 
Mambo ya nymba ndogo hayooo..ukirudi home wife anakufungulia mlango huku kanunaa,kabla ya salamu utasikia alaf baba nanii..ujue gesi imeisha..halafu tarehe za kushona sare za send off zinakaribia so usiniangushe.

Pia baba mwneye nyumba kaja leo kaohusu bili ya umeme imekuwa kubwa,duuhh anazungumza hayo huku ana anatazama bongo muvie zake remote mkononi...chakula hicho hapo mezani baba nanihii.,mmhh hapo bado hujachepuka tu aaa wapiiiii
 
Destinylady

Uko nje kwa mchepuko wanahudumia kama nini kwanini asijitumenyumbani adi makelele ndo upew kodi ya meza khaa
apo morali wa kupetipeti utatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nimependa sana mada lakini sijapenda hapo chini ulipo maliza na kutaja askofu
 
Mkuu umeirudia,ilikuwa coment ya mtu.:tape::tape::tape:
 
Ila inachekesha sana,huyu aliyeandika nina uhakika nyumba kubwa yake ishamchosha na kuchepuka kashachepuka mara kibao lol.....
 
Mfundishe Kwa njia yoyote akuhudumie cause niwamuhimu kwako ndo maana hujamuacha ukitaka kuamini asiwepo ndo utaona hiyo misaada unayopata kama italipa.
 
Siku akijitahidi kuto miguno ya mahaba utadhani nguruwe anachinjwa kwa kisu butu!
 
Jamaa utakuwa umefuata shanga huko nje....hahahahahahahaaaa... mnunulie na shemejiiiiii
 
Hahahahahaha.................naruhusiwa kuchekaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom