yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Utafiti mdogo nilofanya, watu wengi watu wazima haswa waliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma, hawana uswahiba na baba zao.Hawawafurahii baba zao wengine wanawachukia baba zao,ingawa hawataki kusema na utafiti wangu unaonesha wazee hao waliishi na watoto wao kibabe zaidi na hata baada ya watoto hao kuwa watu wazima wababa ndo chanzo cha ***** ***** nyingi na wepesi kutishia laana bila kuangalia uhalisia wa matatizo flan flan.
Kina baba sisi tujirekebishe tusirudie mapungufu ya baba zetu.
Kina baba sisi tujirekebishe tusirudie mapungufu ya baba zetu.