You came along at the right moment
at the time when all other things were running rampant
when care, comfort and friendship were all the important
unfortunately, lasting happiness this life does...
1.Mwanamke mwenye kung'ang'ania utekeleze kumpa vitu kama gari na kulazimika kivunja bajeti. I mean mpenda hela.
2.mwanamke mwenye mdomo saana.
3.mwanamke mwenye matusi ya nguoni.
4.mwanamke...
Nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaotafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii na magazetini. Hivi ni wakweli? Je, wanapata wenzi wa kweli au wana yao jambo? Tupanuane mawazo tafadhali.
1.Awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.Awe na akili timamu
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.Arembo majiyakunde na...
Wasiliana na wataalamu wa mahusiano kutoka kampuni CPM Business Consultantsili upate ushauri nasaha jinsi ya kutatua matatizo yako.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784 394701
Habari zenu wanawake
Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha...
Wakuu,
Jamani nimejaribu kufanya tathmini ndogo sana ila nimegundua ndo nyingi siku hizi hazidumu kwa nini? nimegundua sababu kubwa inayofanya ndoa kutodumu kwa muda mrefu je, wewe umegundua?
Jamani ukubali ukatae mpenzi wako ndiye rafiki yako mkubwa kuzidi wote.Hapa nazungumzia mke au mume anakuwa rafiki yako wa karibu kwasababu mnakuwa karibu kwa kuambiana vitu mbalmbali.
We don't know each other like that, we were raised & grew up differently, but we do have one main thing in common, We are men and we live almost all our lives trying to impress women, it's la cosa...
Habari humu ndani, mimi ni mgeni humu ndani na ndio napost topic kwa mara ya kwanza, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 24 sasa lengo la kuandika hii poat nimehisi nikiitoa moyoni nitakua kama...
Habari za asubuhi,
Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako...
March 16, 2015: This is a list of the richest pastors worldwide.
7.Temitope Joshua: Synagogue Church Of All Nations (SCOAN) has an estimated net worth: $10 million – $15 million. Nigeria's...
Hapo juu nimeamua kutumia tafsida ktk hili ninalotaka kuuliza ili mods wacje wakaunyofoa mapema tu huu uzi, juzi hapa kuna mdau mmoja ni mgeni mgeni humu Jf anaitwa 4GB Fulltinga's, alidondosha...
Nashangaa na kelele za wanawake hasa hawa ambao hawaolewi kudai kila siku haki haki wakati hakuna siku ambayo hizo haki waliporwa.Tanzania isiingie katika mtengo huo maana penda usipende mwanamme...
Wasichana au wanawake wengi kumbe hupenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi sana na wanaume waliofanana kimuonekano kimaumbile ( physical appearance ) na wazazi wao wa kiume nikimaanisha baba zao...
Kuna binti mmoja nilimtongoza hapa chuo hakuonesha kukasirika ila alichoniambia kuwa yeye ana mtu wake na wamesha panga mengi kwa hiyo itakuwa ni vigumu kuwa na mimi.
Siku kasirika sana ila cha...
Nimeamini ukimtegemea Mungu hakuna linaloshindikana. Nina shemeji yangu mmoja ambaye alikuwa akisafa kwa muda mrefu kutafuta mkopo ili aweze kumalizia nyumba chake iliyopo Bunju hasa kutokana na...
Siku hizi kufunga ndoa hakuhitaji sana mtu kufanya research ya kutosha,hili linajionyesha kwa jinsi ambavyo ndoa zinafungwa baada ya mda mfupi wa mahusiano,ndoa zinavunjika baada ya mda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.