Ndugu wa bodi
Natumaini mko salama, poleni pia kwa changamoto na majanga kadhaa yanayotuandama.Nimekuwa kwenye uhusiano na askari wa JWTZ kwa muda sasa na tunategemea kuoana, hoja zangu...
Majira ya saa 6 usiku tukasikia purukushani kubwa nyumba ya jirani, mwana dada kachachamaa kwelikweli, tukaamua kujisogeza hapo maana unaweza shangaa kesho yake kuckia mmojawapo kachinjwa.
Kufika...
Watafiti sasa wabaini: Kuoana kunaelekea ukingoni.! Hivi karibuni baadhi ya watafiti wa masuala ya mapenzi na uhusiano wamebainisha kwamba bado kitambo kidogo, japokuwa ni polepole ndoa zitaanza...
Kama wewe ni mwanamke na ungependa jinsi ya kumshika na kumdatisha mwanaume kitandani ni staili pekee za mapenzi cause wanaume wanadata na mapenzi tu usije ukajidanganya na uzuri ulionao ukazani...
Mara nyingi mwanamke anapoazisha uhusiano na mwanaume huanza kutaka kujua tabia na misimamo ya mwanaume ikiwemo upole,ukorofi,ukali,utoaji wa pesa, usiri na mambo mengine mengi yamhusuyo mwanaume...
Hii dunia ya sasa totozi ni nyingi sana. Na hazikatai kabisa . Sasa nimetokea kumpenda ghafla dada mmoja kwa dhati kabisa. Sasa sijui atachukua advantage na kuanza mbwebwe au vipi? Maana wasema...
Kuna mtu kitambo flani alinitosa bila sababu.Sasa juzi ameanza kurudisha mawasiliano nikamdadisi sababu za kunitosa kipindi kile akadai eti ni vile mimi sio msabato mwenzake najiuliza hivi dini...
Huu mkopo umenitesa jamani! tangu 2012 nilikopa kama 15m hamna cha maana nilichofanya zaidi ya kuishia kununua gari kuu kuu na kiwanja feki kilicho na kesi hadi leo.
Nimekoma nimekoma kukopa bila...
Mjumbe hauwawi!
Basii nawamegea siri ukipata mpe mwenzako. Hawa binti zetu wa vyuo vikuu wanapagawa sana na Whatsapp. We ukitaka kibint cha chuo kinunulie tu simu inayosupport whatsapp messenger...
Huu si utani ni kweli.
Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti...
Salaam kwenu wakuu
Kwa uchunguzi niliofanya humu jukwaani inaonyesha baadhi ya wanaume ni wakware usipime ukitoa post Love connect au MMU,ndio utawajua watu vizuri.
Mbona utachoka na pm ni...
Naombeni ushauri wana JF.
Baada ya kumtokea huyu msichana kanikataa nikaona hakuna sheeda ya kung'ang'ania nikampotezea ila cha ajabu akiniona mabinti wengine anakasirika.
Hata kama tunapiga...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni, Kwa ufupi nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeoa kabila moja ila yeye ni mfanyabiashara mkubwa sana.
Anatembelea Range Rover Autobiography...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wazazi wengi wanatoa speech za kinafiki, zilizojaa uongo na uzandiki kwa vijana wao mara kwa mara. Wanasahau...
Wadau naomba kuuliza kama humu JF unaweza kumblock mtu private messages zake zisiingie katika inbox yako
Kuna mtu nilikuwa najadili naye business flani humu JF mara all of a sudden akaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.