Mpenzi wako ndiye rafiki yako wa kwanza dunia nzima

Mpenzi wako ndiye rafiki yako wa kwanza dunia nzima

FERTILIZER

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
60
Reaction score
5
Jamani ukubali ukatae mpenzi wako ndiye rafiki yako mkubwa kuzidi wote.Hapa nazungumzia mke au mume anakuwa rafiki yako wa karibu kwasababu mnakuwa karibu kwa kuambiana vitu mbalmbali.
 
Ungesema mke/mume kwa mbali ningekuelewa

na bado angekuwa amekosea...mimi kitu pekee ninachowezaa kumuelewa ni pale akisema hajaqualify kupiga kuwa kwa kigezo cha muda toka alipozaliwa mpaka leo
 
Tatizo la mpenzi au hata mwenzi wa ndoa..hali huwa mbaya mnapotengana! Bado undugu wa damu una nafasi yake..
 
Back
Top Bottom