Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
1.Mwanamke mwenye kung'ang'ania utekeleze kumpa vitu kama gari na kulazimika kivunja bajeti. I mean mpenda hela.
2.mwanamke mwenye mdomo saana.
3.mwanamke mwenye matusi ya nguoni.
4.mwanamke mchepukaji
5.mwanamke mchafu
6.mwanamke asiyependa wazazi wa mume
7.mwanamke anyetumia ulevi kupindukia
8.mwanamke mwenye ulewa mdogo.
Na wengine mtanisaidia wao wenye tabia za kukela.
-- mwanaume kama ulikuwa unapiga hadi sita kwa siku, siku za mwanzoni, ukiwa na Mwanamke aina hii kila kukicha bao zinapungua kidogo kidogo hadi inafikia ukimwona tu hauamki kabisa.
Fanya utafiti sasa utagundua