Kuna binti mmoja nilimtongoza hapa chuo hakuonesha kukasirika ila alichoniambia kuwa yeye ana mtu wake na wamesha panga mengi kwa hiyo itakuwa ni vigumu kuwa na mimi.
Siku kasirika sana ila cha kushangaza kuna marafiki zake wananiangalia sanamimi, hadi mwenyewe nahisi vibaya najiuliza what happen sielewi kabisa. Kweli hakuna kitu kigumu kama kuelewa mwanamke nini anataka.