hizi ndizo athari za utandawazi kwa jamii ya Mtanzania katika mahusiano na mapenzi kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hizi ndizo athari za utandawazi kwa jamii ya Mtanzania katika mahusiano na mapenzi kwa ujumla

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nderingosha, Mar 21, 2011.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kufunga ndoa hakuhitaji sana mtu kufanya research ya kutosha,hili linajionyesha kwa jinsi ambavyo ndoa zinafungwa baada ya mda mfupi wa mahusiano,ndoa zinavunjika baada ya mda mfupi sana(hata kama zimefungwa makanisani),siku hizi wanawake kuwapata si jambo gumu hata kidogo(tena wao hutongoza wanaume siku hizi),wanawake au wanaume kutoka nje ya mahusiano(hata kama wameoa au kuolewa)ni kitu cha kawaida sana siku hizi,maswala ya tigo yamo kwenye jamii kwa kiasi kikubwa sana(kuna sehemu mwanamke anatembea na mwanamme alafu yeye mwenyewe anamgeuzia mwanamme kuitisha tigo eti kwani umemaliza mh bado!),mashoga na ma lesbo siku hizi wametapakaa kila mahali,ngono katika umri mdogo imezidi siku hizi,ukija kwenye maswala ya mtu binafsi: utakuata mwanamke anaweka pini mpaka sehemu za siri na vitovuni,maswala ya mawigi na ma cosmetics kibao mpaka chini,hata haya maswala ya kunyoana vipara chini(mbona mama zetu na baba zetu hawakuwa nayo?),ndiyo tunapenda vipara lakini tunaiga(eti hata wanaume wananyoa mpaka vifua mh!) na mwisho hata kwenye maswala mazima ya sita kwa sita, tunaiga style tena zile unique ambazo si za kawaida(mfano dogy style etc).Wandugu najua mtasema tupo kwenye zama za utandawazi lakini maadili ya jamii yameporomoka na matokeo ya mtindo huu mzima wa maisha ni ongezeko la maradhi yanayoambukiza e.g ukimwi kwani kasi ya matamanio na kuongeza majaribio baada ya kuiga ni kubwa.Naleta mjadala kwenu.............
   
 2. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  tunashukuru kwa kutukumbusha hayo
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nijambo muhimu sana kukaa na kutafari wapi tunatoka na tuendako pia kusali na kusoma vitabu vya dini iwe ni sehemu ya maisha yetu. Mimi naamini hayo yote nimatokeo ya kile tulichokuwa tunakihitaji yaani UTANDAWAZI.
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2015
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Umennena
   
Loading...