Kuna siku nilishawahi kumsikia Mike Mushi kwenye mkasi aliposema kuwa alishawahi attends harusi kibao tu za watu ambao wamekutania humu JF
thats nice mie leo wakuu nilikuwa nataka kujua list ya...
Sifa; awe mrefu 150cm-160cm, asitumie kilevi,awe mkristu mkatoliki,maji ya kunde/mng'avu, mwenye umbo na sura yakuvutia plus tabia njema, umri wake 17-21, mimi mweusi, 24yrz , bado naendelea...
wana JF,
Kuna jirani yangu ambaye alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu. Ameniambia kwamba mwanamama huyo ndiye aliye mshawishi wawili hao wawe wapenzi bila kujali mumewe (ndoa yake)...
Nimekutana na tukio la kutisha Kimara, baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kumuwekea pilipili mkewe sehemu za siri kwa kosa la kumsaliti mumewe kindoa na kutoka na mwanaume mwingine.
Mwanaume huyo...
Jamani kwa wale ambao hawawezi kukaa bila msichana wa kazi,basi nafikiri ni mda muafaka kuwapima afya zao kabla ya kuanza kazi,Ukiwa Kama baba ama mama wa nyumba nafikiri haitakuwa ngumu kufanya...
Amani kwenu wadau wa MMU,
Hivi ili swala la kukata majani yanayozunguka bustani ya utulivu kwa wenzetu wa upande wa pili wa ke nyie mnalionaje.
na hili swali linawahusu mimi zaidi.
Kwasababu...
Wanajamii heshima kwenu.
Hii ni stori ya kweli,so makinika.
Nimekuwa na mchepuko Kwa takribani Kama miaka mitatu sasa,mtaani wanaita nyumba ndogo.
Huyu mchepuko Ana age range ya 27-34 na bado...
Hii tabia anayo mke wangu.Ila nimejaribu kufanya kautafit kidogo nimegundua kua wanawake wengi walio kwenye ndoa.Au wanaoishi na wanaume kama mke na mume wengi wanako aka katabia japo sio wote...
Habari wakuu,poleni na mihangaiko ya leo
Wakuu ni hivi kuna mshikaji wangu naishi naye mtaa mmoja .sasa juzi kati kaachwa na mpenzi wake akanifata akanielezea jinsi walivyoacha ni hivi mshikaji...
Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.Ni ukweli kuwa wanaume tulio wengi tumekuwa ving'ang'anizi kwenye suala la mapenzi. Kwa kulazimisha huko kumepelekea baadhi ya wanaume kuingia...
Unapokuta mwanaume ana mke mzuri in all aspects (mchapakazi,mcha Mungu,mama mzuri,msafi na sio tegemezi mengine ongezea),watoto wazuri wenye afya ma amebarikiwa kua na vitu vya msingi vya kufanya...
Jumapili nilijisikia kuweka mke wa rafiki yangu kwenye whatsapp kama profile picture, kiroho safi tu. Sasa jamaa kamaindi kinoma, anasema tumefanya kwa siri we sasa tumeona tumuweke wazi...
Hivi mwanaume mtu mzima wa zaidi ya miaka 45,unatongoza binti mwenye miaka 16,17 au hata 22. Unakuwa umefikiria nini hasa, hivi watoto wa umri huo si watoto wako hao.
Mwanaume mwenzangu unapata...
Habari zenu jamani.
Nina rafiki yangu amekuja Dar es salaam kusoma yupo chuo kikuu fulani hapa jijini,kwasasa ni mwaka wa tatu, na mwezi wa sita anatarajia kumaliza. Bahati mbaya mwaka jana...
Habari zenu wakuu
Poleni kwa mihangaiko ya siku. Am an alpha male but kwa binti wa Kikenya nimeoga. Nilimfahamu kupitia shem wangu. she is a true African queen jamani niliapa kufanya juu chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.