Ndoa: Naomba elimu

Ndoa: Naomba elimu

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,496
Reaction score
40,157
Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana? Naomba kujua nini kifanyike ili kufanya ndoa zidumu kama za wazee wetu.

Jamii ya leo imekua ya kisasa sana, kwa hio haya hapa chini yaweza kuwa yanachangia mmomonyoko wa Ndoa.
Maamuzi ya kisasa: Wavivu kufikiri (reasoning) wanafikiri na kuamua kivivu sana wakiangalia fulani atasemaje? nisije nikafanya maamuzi ya ''Kishamba''
Tabia za kisasa: Tunaiga kila kitu kutoka kwao hadi tumepitiliza, Ngono imekua first priority (with multiple partners) kwa walio wengi
Kutatua matatizo kisasa
: Kizazi kinatatua matatizo kwa kuyakwepa wakikimbilia easy and temporary solutions
Miluzi Mingi: Mali, Anasa/Starehe, Kamari, Soccer, Magumashi, Nguvu za kiume, Michepuko,
Unafiki umezidi: Sisemi zaidi hapa
Maadili ni Ushamba: Kama huna mchepuko, kama huibi unachofanya, Kama hulewi, kama sio mla bata sana wewe umepitwa na wakati...Sasa ukiongezea na uvivu wa kufikiri na effects za mob psychology inakua balaa zaidi.
Ukiwa Mkora ndio ujanja na ndio unaonekana unakwenda na wakati (American music industry influence... Hii ikiwa nguzo muhimu sana ya Freemasons imefanikiwa sana kuwamomonyoa vijana) N.K
 
A lot of people think marriage is a box filled with happiness, love, success and all good stuff. Marriage is an empty box, and it's the responsibility of the two of you to fill it with all the good stuff by working together. It's two of you against the world not against each other.
 
Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?
Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana?

Nini kifanyike?
Vifaa vya zamani vikiharibika hutengenezwa
Lakini vya sasa vikiharibika hutupwa.
 
Zaman wanaume walikuwa wanaprovide sana kwenye familia cku hizi wanaume tegemez ni wengi mno
 
Jamii ya leo imekua ya kisasa sana, kwa hio haya hapa chini yaweza kuwa yanachangia mmomonyoko wa Ndoa.
Maamuzi ya kisasa: Wavivu kufikiri (reasoning) wanafikiri na kuamua kivivu sana wakiangalia fulani atasemaje? nisije nikafanya maamuzi ya ''Kishamba''
Tabia za kisasa: Tunaiga kila kitu kutoka kwao hadi tumepitiliza, Ngono imekua first priority (with multiple partners) kwa walio wengi
Kutatua matatizo kisasa
: Kizazi kinatatua matatizo kwa kuyakwepa wakikimbilia easy and temporary solutions
Miluzi Mingi: Mali, Anasa/Starehe, Kamari, Soccer, Magumashi, Nguvu za kiume, Michepuko,
Unafiki umezidi: Sisemi zaidi hapa
Maadili ni Ushamba: Kama huna mchepuko, kama huibi unachofanya, Kama hulewi, kama sio mla bata sana wewe umepitwa na wakati...Sasa ukiongezea na uvivu wa kufikiri na effects za mob psychology inakua balaa zaidi.
Ukiwa Mkora ndio ujanja na ndio unaonekana unakwenda na wakati (American music industry influence... Hii ikiwa nguzo muhimu sana ya Freemasons imefanikiwa sana kuwamomonyoa vijana) N.K
 
kwani zikivujika maisha yanasimama???..........hili tatizo daktari wake yupo ICU,,,, na hatujui atatoka lini......
 
Ndoa nyingi znasumbua kwakuwa usaliti mwingi na hakuna mapenzi ya kweli kwa wengi zaid ya pochi.
 
Kuna mengi jamani...kwa umri wangu huu wa 25+ nimeshuhudia ndoa zikivunjiaka namna hii
1.mme alikuwa akimpiga mkewe sana hata alipofanya kosa dogo la kuchelewesha chakula mezani baada ya saa moja na nusu jiom.
2.Mke kuchepuka na kupata ujauzito.
3.Mke kukataa kabisa kuishi na ndugu za mumewe.
4.Mme kuleta watoto 3 waliozaliwa baada ya wao kugunga ndoa.Kiukweli hiz ndoa zina sababu nying za kuvunjika sana...no specific reason..!
 
Kuna mambo mengi sana.

Na kubwa likiwemo uvumilivu, hapa kwenye uvumilivu ni mtihani mkubwa ikichanganyika na tamaa
 
Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana? Naomba kujua nini kifanyike ili kufanya ndoa zidumu kama za wazee wetu.

Tatizo kubwa vijana tunataka Kuishi maisha ambayo ya kuigiza zaidi kuliko uhalisia....
 
Tatizo ni kwamba miaka ya sasa wanaume tume dorola sanaaaa tofauti na zamani (hata nguvu za kiume hazilingani na wazee wa zamani)
 
Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana? Naomba kujua nini kifanyike ili kufanya ndoa zidumu kama za wazee wetu.

Think harder before u seek for a help...

The answers are vivid.
 
Ila ninahisi pia kwamba wengi wanaingia kwenye Ndoa wakiwa na PICHA kubwa sana ya taasisi hiyo. Wanajisahau kuwa wao ndiyo wenye kutimiza hizo njozi kwa pamoja na hakuna atakayekuja kuwatimizia malengo yao zaidi yao wenyewe.

Kingine ni kuwa tunahesabu makosa ya wenza wetu kwa faida yetu ili kutumia makosa yao kuficha inferiors zetu....
 
Back
Top Bottom