Ndugu zangu najua weekend imeanza wapo wajameni wenye kaugonjwa fulani kukatajanashindwa ila wao wakiwa kwenye. Irafiki wamezoeakunywa kwanza shugulia isimame .
Najua ujachelwewa achaakokamchezo...
Habari zenu wandugu,
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Ijumaa ya tarehe 13 mwezi huu niliamua kwenda kupima Afya yangu hususani VVU kwani nilikuwa na wasi wasi uliosababishwa na ndoto...
Habari zenu wakuu..
Leo nimekutana na ishu moja inayotafutiwa ufumbuzi muda mrefu juu ya hawa wakongo na wanawake zetu. Unajua kwanini wanakuwa na jeuri mpaka wanahongwa vitu vingi.? Jibu sio...
Habari za usiku huu wapendwa, natumai weekend ilikuwa poa sana.
Leo nikiwa kwenye nyumba ya ibada fulani hivi, basi kukawa na sherehe ya akina mama. Kina mama walikuwa wamejilemba wakionekana...
Wakuu heshima kwenu, nimekuwa lonely kwa muda sasa, hivyo natafuta mwanaume wa kuchat nae umri kuanzia 39-43, awe single tafadhali.
Aliye tayari ani PM.
Mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanawake wengi wakiwa wamevaa viatu ambavyo vinaonesha sehemu kubwa ya miguu yao.
Leo nikaamua nifanye utafiti kidogo ili njjue uwiano wa wanaovaa vile...
Ndugu wapendwa katika bwana,
Ila nina ombi moja kwenu naomba msaa wa kimawazo kwamba hivi nini kinacho sababisha mtu[ mwanamke] anaficha baadhi ya mambo yanayo husu ukweli wamaisha yake...
Huu ujumbe mpenzi wako au yoyote yule uliyewahi kulala naye akikwambia huwa unajisikiaje?Maana kuna wengine hufurahi na wengine huchukia kulingana a mapokeo.
Nauliza tu,
Je, ni kweli wanawake husahau kuwajibika kuhusu maendeleo yao binafsi pindi wawapo kwenye mahusiano na wanaume? Hapo upelekea kumtegemea mwanaume na kumtemgea mwanaume kama yeye ndo...
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipige bao kuna siku hadi mara mbili, natokaje kwenye hilo tatizo.
Msaada tafadhali
Malavidavi yakikolea utajua vi stutus vyake;
-Te amo (usituandikie spanish hujatupeleka shule wewe).
-I love him/ her to the moon and back (kwani we mfanyakazi wa nasa Marekani?).
-Me/ she is...
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na...
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na...
Habari wakuu,
Mnisamehe tu kwa tabia yangu ya kutojali nini watu wanasema kuhusu mimi or kunitusi,coz ni kawaida ya baadhi ya watoto wa kiume
kuchukia wanaume pasipo reason za msingi, hasa...
Habari zenu,
Kwa mda wa miaka miwili nimekuwa nikiishi kwenye nyumba hizi za kupanga, nimekuja kugundua wanandoa wengi haswa wanaume hupata hasira na kufokeana na mkewe pindi asipopewa huduma...
Me najishangaa nowdays hisia zimehamia kwenye ulimi najikuta nasahau kuingiza nyoka shimoni nabaki kutumia romace.
Hivi hii inatokana na kitu gani wenzangu? Mwenye kujua nini inasababisha hali...
Habari wanamalavidavi,
Kuna mdada nimekuwa nae katika mahusiano ni muda kama wiki moja hivi.Anachonishangaza ni kwamba,ananiambia kuwa anasikia kwa rafiki zake kuwa mapenzi kinyume na maumbile...
Natafuta mwanamke mlokole ambaye baada ya kuridhika atakuwa mke,umri ni kuanzia 27 had 34.na hatakiwi mwenye mtoto zaidi ya mmoja ila ambaye hazai atapewa kipaumbele.
Aliye tayari anipm
Mume kakutuoa "OUTING" kwa kinywaji and maybe nyama choma. mmefika mnakutana na washkaji wa hubby / mchepuko, hivyo mmeamua kushare meza, kama kawaida maongezi yananoga, ubishi wa kilevi unaanza...
Suala la kufanya ngono kabla ya ndoa linachangia kwa baadhi ya wachumba kutosana ingawa hili halitajwi sana na wahanga wa kutoswa,badala yake wamekuwa wakitafuta visingizio vingine.
Hii inatokea...