Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna dada mmoja nilikua katika mahusiano nae ya mda mfupi tu na kusema kweli nilimgegeda mara moja tu.Ila wakati namfukuzia nakiri nilifanya kosa kubwa sana.Nilimdangnya kua bado naishi mwenyewe...
1 Reactions
170 Replies
23K Views
Poleni wadau na majukumu. Naomba tujadili kidogo umuhimu wa marafiki kwenye mahusiano yenu.Kuna faida au hasara ya kuwashirikisha baadhi ya mambo yenu kama kutatua matatizo yenu pindi mkigombana...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilikuwa katika mahusiano na msichana wa kidato cha kwanza hapo mimi nilikuwa kidato cha pili katika shule hihyo but alinipenda sana na mahusiano yetu yalijulikana shule nzima lakini nimewahi...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Heshima kwenu Jf, Kutokana na hali na mienendo ya mahusiano ya sasa kutokuwa na uaminifu ndani yake,aidha uhusiano wa kimapenzi au ndani ya ndoa.Je, kuna umuhimu wowote wa kumjua X wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Mwagikeni hapa eti ni wapi zaidi kati ya michepuko au kwa yule ulie nae kwenye ndoa? Yupi anakuchanganya na kwanini? Mwenye uzoefu na hii mambo atujuze.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani upendo na mshikamano kwenu wanajamvi, Msemo wa "no means no" umekua maarufu duniani kote kwasasa kama slogani maalum kwa ajili ya kupinga vita vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakuta mwanamke anaumbile dogo lakini mwanaume kapaa hewani, bonge la mtu alafu baunsa,wakati wa sex mwanamke anambeba bila wasiwasi wowote kama kikaratasi tu.Lakini mwanamke akilala juu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Una rafiki yako mnapendana sana to death Unapimaje unayoongeanaye? Au group lako mnalosaidiana kwa shida na raha unawezaje Kupima unayoongea kuhusu mahusiano yako? Na wasichana wanapokuwa pamoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I did reasonably well in my 30's, I got married, had my first child soon after, are you, mzabzab? Did my post graduate studies and my professional accreditation, am semi- professional though...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Naweza kutangaza janga la kitaifa kwa vijana. Niisaidie tu serikali maana naona ipo kimya na watu wanagugumia na maumivu no wonder why familia nyingi hazina amani,kumbe ni matumizi ya muda mrefu...
1 Reactions
44 Replies
12K Views
Habarini wadau, Sinauhakika kama ni jukwaa husika. Lakini nilikua napenda kujuzwa tu kua ni kweli kwamba mtu mwenye blood group O si rahisi kupata ugonjwa wa UKIMWIi? Hapa mtaani kuna binti...
0 Reactions
39 Replies
18K Views
Rafiki yangu ni playboy mzuri tu, si hapa dar tu anapokaa, lkn pia hata sehemu mbalimbali za mikoani anazoenda ni yeye na mademu mademu na yeye.Nimemuuliza kitu kimoja ambacho kimenishangaza...
1 Reactions
116 Replies
34K Views
Habari wakuu wa jukwaa hili natumai muwazima, Kwa kawaida kwa tulioko katika mahusiano ama hasa wale walio katika ndoa wengi wetu tunaona kua kila seavice ni jukumu la mweza wako kukufanyia kumbe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jambooo JF?? Ni hivi asubuhi limetokea tukio la kufurahisha ila ni la kujifunza kitu fulani!! Tukiwa tumesimama barabarani nje ya ofisi naagana na mgeni, kulikuwa kuna watu wawili mwanamke na...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
edited post
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mtaani kuna dogo mmoja kana 23yrs tu, kanaitwa K, ila ni malaya malaya mbwaaa, hafai hata kwa mbolea. Nimewaletea...
30 Reactions
101 Replies
19K Views
Habari wakuu Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na...
2 Reactions
155 Replies
14K Views
Awe na umri usiopungua miaka 18 & usiozidi miaka 24,lengo ni kubadlishana mawazo,tuwacliane kupitia barua pepe hapo chini. Ngumbamajora@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ili uishi kwa amani na mme wako fuata sheria hii.Sheria namba moja ni kuwa mwanaume hakosei kama mwanaume atakosea rejea sheria namba moja.Wanawake mkiitumia hii sheria ipasavyo mtaishi kwa amani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…