Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Hello wadau, Napenda nami kuja kwa mtindo wa swali, baada ya kujiunga na JF karibuni hapa. Ninauliza kwa mtindo huu miaka ya awali kidogo, kijana akiwa anafanya kazi mjini, akitaka kuoa anarudi...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Kuna hulka imejijenga kwa watu wengi lakini ukweli wa mambo haya sijaujua ni upi. Eti"Mwanamke wa Tanga Pwani na Zanzibar ni mafundi kuliko wa kanda ya Ziwa,Nyanda za juu kusini {mbeya na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu habari za leo, Jamani mimi natafuta mwanamke umri kati ya 19-30 awe Muislam awe anajua maana ya maisha awe mpambanaji wa kutafuta maendeleo hata kama bado hajayafikia. Awe tayari kuingia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali haya yafuatayo lakini hadi leo kichwa changu kinaniuma kwa kutopata majibu yake stahili na ya kiutaalam hivyo nikaona si vibaya nikawashirikisha na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Guys jamani naombeni msaada, Napenda sana kukiss yani, aka limi kwa limi kugusana sa sijui nifanyaje niepukane na hili tatizo.Nikiwa na mpenzi hadi nilikua namchosha maana ni kila wakati nilikua...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari wadau, Jamani mke mmoja hatoshi kwani nahisi kuchepuka ila namuogopa Allah na nikitaka kuoa mke wangu mkali na hata wazee wangu sijui kama nitapata sapot. Basi ushauri wenu wadau
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Umepevuka na kuwanda kaka Midundo pu! pu! pu! pasichoka Mawazo yangu umeyapakata Hisia za mahaba kufichuka Utungu wa simanzi unakumbuka? Mchana damu wasukuma Usiku hukuacha kuvuma Mara...
8 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nashangazwa na hawa wanawake walokosa aibu kusimama mbele ya kadamnasi bila haya eti tunataka usawa lol,usawa wenyewe eti prittywajoseph awe sawa na Joseph Mungu alimpa Adam...
22 Reactions
65 Replies
9K Views
Hasa wavulana lakini pia wasichana kabla hujaoa au hujaolewa epukana kabisa kufanya tendo la ndoa au punguzeni kabisa.Kwa sababu mfano kwa wavulana huingia katika ndoa wakiwa wakiwa wamechoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
asanteni sana
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Nina 24 age, nataka rafiki wa kike aliye popote awe 18~25 of age. Kama yupo ani pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo...
17 Reactions
46 Replies
60K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11 Baada ya Pac man kupigwa, niko ICU huku najiuguza, nakukabiliana na mideni ya kutoshaaa. Senior Boss...
10 Reactions
62 Replies
8K Views
Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti, Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za leo ndugu wana MMU wote, Awali ya yote tumshukuru MUNGU aliyetuwezesha tuendelee kuishi hadi leo hii. Kama tunavyofahamu raha ya ndoa au mahusiano...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Vijana wengi wamekuwa wakikurupuka katika kuchagua mke atakaemfaa katika maisha, kwasababu wengi wenu mnapenda kuangalia kimo cha mbuzi yani usawa wa kiuno na kuvutiwa na vitu ambavyo havina...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Waungwana, Hivi uzuri wa mtu au kitu upo kwenye kitu chenyewe au upo kwenye macho ya mpendaji? Maana unachokiona wewe kizuri, mwingine anaona kibaya.Unachopenda mwingine hapendi. Uzuri wa mtu au...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za leo. Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, Mimi nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi; -Awe mkweli -Rangi yoyote -Kabila lolote -Uchumi wowote -Maziwa madogo -dini yoyote -Sura yenye mvuto _Umri 20-25 _Asiyemgumba/mgumba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…