Sharobaro na housegirl live

Sharobaro na housegirl live

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa sebuleni kwa mpangaji wa nyumba moja aliyefahamika kwa jina la Rhobi Chacha.

Majirani wa mpangaji huyo waliliambia gazeti hili kwamba walimuona kijana huyo akiambaaambaaa na ukuta wa nyumba hiyo kisha kuingia ndani kwa kunyata, kitu kilichowapa shaka na kuamua kumpigia simu jirani yao kumweleza juu ya ujio wa kijana huyo.

​
Majibu waliyopewa na mpangaji huyo yaliwafanya majirani hao kujikusanya, wakiwemo walinzi wa kimasai wanaolinda maeneo hayo na alipofika Rhobi, ndipo walipoingia ndani na kupigwa na butwaa kumkuta ‘sharo' huyo akiwa amejilaza kwenye kochi sebuleni, akiwa ameshikilia rimoti akiibonyezabonyeza kama yupo nyumbani kwao.
Alipoulizwa kilichompeleka hapo, alikosa cha kujibu, akionekana kuchanganyikiwa.

Read more »
 
Wivu tu wakike huo sharobalo alikuwa ameenda kupiga papuchi ya hg(mercury)
Sasa nyie wapambe mmemharibia pozi sharobalo
 
KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa sebuleni kwa mpangaji wa nyumba moja aliyefahamika kwa jina la Rhobi Chacha.

Majirani wa mpangaji huyo waliliambia gazeti hili kwamba walimuona kijana huyo akiambaaambaaa na ukuta wa nyumba hiyo kisha kuingia ndani kwa kunyata, kitu kilichowapa shaka na kuamua kumpigia simu jirani yao kumweleza juu ya ujio wa kijana huyo.

​
Majibu waliyopewa na mpangaji huyo yaliwafanya majirani hao kujikusanya, wakiwemo walinzi wa kimasai wanaolinda maeneo hayo na alipofika Rhobi, ndipo walipoingia ndani na kupigwa na butwaa kumkuta ‘sharo' huyo akiwa amejilaza kwenye kochi sebuleni, akiwa ameshikilia rimoti akiibonyezabonyeza kama yupo nyumbani kwao.
Alipoulizwa kilichompeleka hapo, alikosa cha kujibu, akionekana kuchanganyikiwa.

Read more »
Peleka ujinga huu facebook
 
Hao walikuwa ni wapenzi tu, jambo ambalo ni la kawaida sana ila ni bora wamefikishwa huko waonywe maana hawa wafanyakazi ni hatari, wanaweza kuja panga njama na huyo kijana na kuleta majanga zaidi, au huyo kijana kupata tamaa ya mali na kuleta majambazi.
 
Hivi mtu kuwa "house girl" Kuna muondolea haki yake ya kupenda. Tunajua kazi zao ni za masaa 24 na siku 7 za wiki. Muda wa kuinjoi watautoa wapi zaidi ya kufuatwa na wapenzi wao sehemu za kazi. Kuwabanda hivi ndio sbb ya kuwafanya waweke ndoano zao kwa "father house".
 
Back
Top Bottom