bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 601
Habari zenu,
Naamini ni wazima ndugu zangu wana JF.
Ni hivi inakuaje mtu unapomuona mpenzi wako wa zamani ambae mlipendana sana ila mkaja kuachana kwanini kamoyo uwa kana shtuka sana?
Na kuna uwezekano kua wewe ndie uliekatisha mahusiano kwa kushindwa kumsamehe kwa kosa alilotenda.Tena ukimuona na mwanaume/mwanamke mwengine ndio kabisaa unakosa hata amani.
Je mapenzi huwa bado yapo ama ni nini?