Grafu ya mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume

Grafu ya mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume

ASSISANT

Member
Joined
May 6, 2015
Posts
37
Reaction score
17
Hodi wana MMU,

Kuna kanuni moja ya mapenzi ambayo watu wengi wanashindwa kuielewa.Mara nyingi, au mara zote, mwanaume huwa wa kwanza kumpenda mwanamke, Kupenda huku kunaambatana na tamaa ya mwili. Ni wachache sana ambao wanapenda bila tamaa.Sasa, wakati mwanaume anahangaika kurusha karata zake zote, mwanamke anakuwa bado hajapenda.

Kadiri mwanaume anavyopigisha sound na kuvutia ombi lake likubaliwe, mwanamke anakuja taratibu kumkubali.
Kabla grafu ya mwanamke kupenda haijaanza kupanda, ya mwanaume inakuwa imeshafika peak kileleni). Hapo ndipo pale unasikia mwanaume anasema silali nakuota, naona sura yako kwenye bilauri ya maji, pia ndipo mwanamke ataitwa majina yote mazuri duniani.

Grafu ya mwanamke kupenda inapopanda, mara nyingi inafikia kileleni pale anapotoa mechi. Kama hakuna upendo wa dhati, kama ilikuwa tamaa tuu, baada ya mechi mwanaume anatoweka, mawasiliano yanapungua, hana time tena na huyu mwanamke. Grafu yake inashuka haraka sana, huku mwanamke akiwa bado ndo grafu iko kileleni.Hapo ndo mwanzo wa matatizo, wanawake hulalamika sana, wengine wanatamka kabisa, kuwa umepata ulichotaka sasa hunipendi tena.

Its just my observation, ladies and gentlemen you should know.

Chukua tahadhari
 
Mbwembwe za hawa viumbe wa kike zinaishaga ukishaweka dudu
 
Imekaa vizuri, walioelewa wameelewa, wasiolewa pia naamini wapo. Ila kwa upande fulani ni kama umewachokoza wadada, ngoja wakujie kwa fujo.
 
Back
Top Bottom