Uhusiano kati ya mvua na mahaba usiku mida ya kulala

Uhusiano kati ya mvua na mahaba usiku mida ya kulala

FORWARD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
740
Reaction score
296
Salaam kwenu,

Naomba nisaidiwe hili, hivi ni kweli uwepo wa mvua kipindi cha usiku mida ya kulala kunaongeza mahaba na hamu ya kufanya mapenzi kwa walio ndani ya mahusiano wanaoishi pamoja?

NB: Ukiwaacha wale wanaoishi mazingira hatarishi kwa mvua mf. Mabondeni.
 
FORWARD

We unaonaje? pili nahitaji kujua miaka yako.
 
Last edited by a moderator:
We unaonaje? pili nahitaji kujua miaka yako.

Mkuu, Ndo maana nimeuliza ili nipate kufahamu, umri wangu unahusiana kvp na mada? Ila nimezaliwa kabla nyerere hajang'atuka kwa heshima na tahadhima.
 
FORWARD

Ukifanya mapenzi wakati wa mvua utafaidika na haya:-
-Mwanamke akipiga kelele/mayowe sauti haisikiki nje
-Utazaa mtoto wa kike
-Mtoto huyo wa kike atakuwa na maji mengi sana kwny papuchi hapo baadaye.
 
Last edited by a moderator:
Ukifanya mapenzi wakati wa mvua utafaidika na haya:-
-Mwanamke akipiga kelele/mayowe sauti haisikiki nje
-Utazaa mtoto wa kike
-Mtoto huyo wa kike atakuwa na maji mengi sana kwny papuchi hapo baadaye.

ha ha haaaaaaaa. mbavu zangu. hivi maji mengi ni faida? atakua na MTO luvuu sio!!
 
Hasara za mgomo wa madereva zinaanza kuonekana live bila chenga.
 
Ukifanya mapenzi wakati wa mvua utafaidika na haya:-
-Mwanamke akipiga kelele/mayowe sauti haisikiki nje
-Utazaa mtoto wa kike
-Mtoto huyo wa kike atakuwa na maji mengi sana kwny papuchi hapo baadaye.

Du, kumbe ndo inakuwaga hivyo.
 
ahahahahahaa hiiii itakuwa ni maajabu ya mwakaa hali inataka kufundishwaa majangaa duuuuu mletee dadioo then atakusimuliziaaa aaaahahahaha
 
ahahahahahaa hiiii itakuwa ni maajabu ya mwakaa hali inataka kufundishwaa majangaa duuuuu mletee dadioo then atakusimuliziaaa aaaahahahaha

Dadi wa siku hz hawana muda hata wa kukaa nyumbani kwake, wanapigana na maisha ya mahela si unajua tena umri wa bp na ki sugar.
 
Nadhani kuna uhusiano mkubwa katika hayo mambo mawili, inawezekana kisaikolojia inaponyesha mvua inakua mnahisi Amani na utulivu na kuwa hakuna cha kuwa bughudhi
 
Tatizo hamuogi, mvua ikinyesha ndo mwaoga....
 
Back
Top Bottom