Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.
Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu...
Naitwa Ahmed nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, natafuta mchumba ambaye baadaye Mungu akipenda awe mke mwenye sifa zifuatazo:-
(1). Awe muislamu au dini yoyote lakini awe tayari...
nina rafiki yangu kipenzi ameathirika. ana afya nzuri na hatumii dawa. anamtafuta mwanaume mwenye status kama yake. awe na umri wa kuanzia 30 kwenda juu ili ukiwezekana waishi pamoja. tafadhali...
Waheshimiwa,
Mimi ni kijana 21 years looking for real friend, miaka 19-25 tutakaoweza kubadilishana mawazo na kukuzana kiupeo kupeana ushauri kufaana na kusaidiana nyakati zote, jinsia yoyote...
Wakuu habari yenu,
Mi ni kijana wa miaka 30 natafuta mrembo wa kumuoa awe mweupe asiye tumia mkorogo wa aina yoyote niko tayari kumpa hata zawadi ya gari kama ataridhia kuwa na mimi awe anaanzia...
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako, baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo. Kwa haraka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie radhi...
Hope weekend hiko poa kwenu,
For a long tyme now nimefall in love kwa mtu ambaye inaonekana hayuko interested wth me nipo na wakati mgumu katka hili najitahidi kumsahau but nashindwa.
Please...
Wa gwaan JF massive?
Sak passe?
What's poppin'?
So, when I was a little boy I think I was afflicted with Oedipus Complex.
I mean, the kinda thoughts that crossed my mind back then about my...
Wakuu,
Hebu nipeni uzoefu nyie mliooa wake kadhaa. Nitamshawishi vipi mke wangu ili akubali nami nimpatie wake wengine wawili wamsaidie?
Naanzaje kumshawishi ili akubali bila kusababisha...
Wajumbe,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 5.Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja...
Nahitaji mchumba awe na umri miaka 18 au19 au 20 awe anatokea Zenji awe mrefu wa wastani asiwe mweupe wala mweusi awe na rangi ya wastani.
My number 0656741633
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama...
Sijui wanawake wote wakibeba mimba wanakuwa hivi au ni huyu wa kwangu tangia abebe mimba ndani hakukaliki mara nina hamu na kitu fulani ukileta hali, amehama chumbani eti kinatoa halafu mbaya...
Wakuu,
Ninakwazwa na tabia ya binti mmoja hivi ambae nimempa heshima kubwa ya kumtoa outing sehemu ya daraja la juu ambapo hata mimi huwa siendi. Huyu binti yupo kwenye middle-class anaishi na...
Falling in love is like your falling into it. I wonder myself now abt crush thing is it the same as infatuation or lust i had passed through crushes and it ends with time.
Youlove someone but...
Mabinti wa kikurya ni wavumilivu sana, tena zaidi ya kabila lolote ndio sababu hata waume zao wawakatakata na panga hawaachiki. Pili wanajua ndoa ni nini? Akishakuzalia mtoto hata umfanye nini...
Kila mwanaume akimtongoza mwanamke anayaongea maneno hayo hayo anayokupa wewe na wengine hutumia kama ni hotel au date place ile ile na wengine hutumia hata majira yale yale.
Usiringe barabarani...
Hello wapendwa,
Natafuta rafiki wa kike mwenye upeo wa kimaendeleo awe na age kati ya miaka 20-25, aliye tayari anifollow in box ili Tuwasiliane.Thanx to you all
Mimi ni kijana miaka 35, nimeachana na mke wangu miezi michache ilipita. Nina watoto 2, Ninahitaji mwanamke wa kabila lolote but specifically awe mkristo miaka 20 - 30.
Awe na shepu kiasi, mcha...
Wasalaaam,
Ni kijana wa umri wa miaka 23 sasa, nategemea kumaliza elimu yangu ya juu tarehe 16 June mwaka huu.Kifamilia mimi ni mtoto wa kwanza kati ya watatu, mmoja ni marehemu (wakiume) ko...