Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Sijawahi kuwa mzinzi tangu nimeoa miaka 5 iliyopita. Hadi hivi karibuni nilipoanzisha uhusiano na binti mmoja.. Tulifahamiana kikazi, yeye yupo idara ya uhasibu. Huja kazini kwangu kila...
1 Reactions
120 Replies
14K Views
Mpo wazima humu, Sipo powa sana na humu but leo its like sina cha kufanya, sijielewi, ninayemuwaza yupo mbali na sijui kama aniwaza pia ni miezi kama 3 since niachane na mpenzi wangu sure...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ninae mpenzi wangu kwa kifupi tunapendana yeye yuko chuoni anasomea Nursing ila nilitamani tufunge ndoa baada ya yeye kumaliza masomo yake alafu mimi niende nikajiongeze. Sasa naomba ushauri...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa mila na destuti za Kichagga, bibi wa bwana harusi haruhusiwi kuhudhuria harusi ya mjukuu wake. Hii Tabia imeleta mgogoro kwenye familia moja hapa Moshi baada ya bibi mmoja kulazimisha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi wenzangu, Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ningependa ku "share" na na nyinyi katika jukwaa hili la Mapenzi na Mahusiano. Kitu chenyewe ni kipindi cha...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Leo nimeamua kuleta thread kwa haka katabia kangu kanakotaka kunizoea. Mimi nina mchumba ambaye anakaa kwao lakini mara moja moja walau kwa mwezi mara sita lazima ajiibe aje...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Asubuhi hii nimeamka na masikitiko makubwa sana. Jana nilikuwa sehemu fulani ghafla nikamuona mkaka mwili wa mazoezi sura sio ngumu kivile kiufipi yupo vizuri. Dooh nilishangaa baada ya...
0 Reactions
95 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu. Ni muda mrefu nimetupia thread humu ila kwa hili naomba niwashirikishe. Maisha yangu yalikuwa hayana mwelekeo kabisa ila baada ya kukutana na huyu msichana kila kitu...
37 Reactions
130 Replies
14K Views
Natafuta mpenzi baadae awe mke mwenye umri kati ya 24-28, urefu angalau 165 cm, kabila lolote, dini Mkristo. Mwenye degree na kazi atapewa kipaumbele. PM if your interested
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Kwa Dar es salaam wapi wanachora tattoo ya muda mfupi kama zile ambazo ukitaka kuzitoa unazitoa baada ya mwaka mf na bei zao pleas nahitaj kumfurahisha babaa tattoo kiunoni.
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Hizi ndoa hizi, ndoa za zamani anniversary ya ukweli ni miaka 25 na miaka 50 kwanza wengine hata hawazisherehekei. sikuhizi ukigonga miaka 10 ya ndoa unatoa hadi sadaka ya shukrani kanisani na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Alinidanganya eti kuwa aliingiliana na mwanaume kama dawa ili apone akapata ujazto, ukweli ni kwamba huyo boy alkuwa jamaawake kwa zaidi ya miaka 6.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Dears Wazima? Nimejikuta napitiwa na hili kichwani................... Is there a line to draw between infatuation and love? Mara nyingi tumekuwa tukiambiwa kuwa unachokihisi si penzi halisi...
9 Reactions
164 Replies
11K Views
Jamani mm najishangaa Siwezi kutongoza, naombeni msaada..
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimekumbuka sana barua za kiswahili zilizokuwa zikiandikwa kwa umaridadi huku zimepambwa kwa maua ya rangi mbalimbali, mfano :A S kiss::A S-heart-2:. Sasa nataka kurudia huu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam wanabodi, Kuna dada moja ni mke wa mtu tunafanya ofisi moja. Mara nyingi nampa lifti kwa kuwa tunakaa uelekeo moja. Kila tukiwa naye halafu akasikia naongea na wife wangu kwenye simu...
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24, nipo Dar es salaam. Natafuta msichana yeyote mzuri mwenye umri kati ya 18~24 kwa ajili ya mahusiano baadae ndoa. Mwenye kuhitaji ani pm tupange yetu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya maneno wakina dada hutumia sana kudanganya au kujikweza; 1. Una kitu rohoni halafu unajibu niko poa tu usijali. Huku umenuna balaa pengine hata usoni humtazamani unamkomoa nani...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
1. Being faithful to your lover encourages your lover to be faithful to you. 2. Being faithful makes your relationship/marriage last. The quickest and easiest way to end your...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali na mchango wa wadau wa mtandao huu na kuona busara zikitoka kwenu kusaidia wale wanaohtaji ushauri. Mimi nina langu linanikera, hili...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom