masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,212
Kila mwanaume akimtongoza mwanamke anayaongea maneno hayo hayo anayokupa wewe na wengine hutumia kama ni hotel au date place ile ile na wengine hutumia hata majira yale yale.
Usiringe barabarani na kuona wewe ndio mzuri tu na kudharau wengine wanaume wanaogopamaana wote husema wewe ni mzuri. Kwa kuwa una puchi tu kumbuka uwezi kutoa pesa kwasababu inakupa mahitaji yako hata iwe chafu.