Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo, Natafuta mpenzi wa kike hapa awe ni mkazi wa Mara tu na si vinginevyo. Kwa aliye tayari anitumie namba ya simu pia awe na umri usiopungua miaka 29, ndoa inaweza kuwepo kama tutaelewana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Women on average sleep with two men in their lifetime, while a man will bed seven, the latest Kenyan Demographic and Health Survey has claimed. Many Kenyans are however questioning the validity...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba kuwauliza wenye uzoefu, nategemea kufunga ndoa kwa kufanya harusi, lakini baba mkwe aliniomba kwamba harusi ifanyike kwao ili aweze kumfanyia binti yake sherehe. Sasa naomba kuuliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanaume kamili lazima umpe mwanamke hela. Miaka ya nyuma ulipata msichana umekahonga gari na madude kibao alafu kakakutosa sasa hivi moyo wa kuhonga umekwisha kabisa. Umri unakwenda umeamua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hapa ndoa hainogi, kapata umbea kutoka kwa rafiki yake, kumbe aliniona na ule mchepuko na wale maparasite wenzie hapa home kimenuka, hapanogi kibaya zaidi yeye nilimwacha Dodoma mi nikaja kuponda...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za weekend wanajamvi, Nimepangiwa kusimamia kazi fulani njiani Arusha kwa muda wa miezi 10. Ili kupunguza gharama nimeona ni vyema nikapanga nyumba badala ya kuishi hotelini. Nimemwambia...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari za jioni wandugu, Wataalamu nyie wazima, Leo naomba mnishauri inakuwaje napata walionizidi umri tu shida ni nini? Mimi ni mwanaume.
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari wanaMMU. Kama kumbukumbu zenu zipo sawa ni kwamba nilianzisha thread hapa nikizungumzia suala la mpenzi wangu wa kike kunisaidia kifedha bila kuchoka. Ninashukuru kwa kila aina ya ushauri...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wakuu, Ni kwanini mtu unapotoa kadi za mialiko ya harusi watu huwa hawafiki kanisani hata siku moja yaani kanisani watajaa ndugu zako tu lakini waalikwa wote uliowapatia kadi watafika ukumbini...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Huyu msichana yani nipo nae kwa miezi 4 sasa tatizo ana penda kununa na kukasika kwa vitu vidogo yani mpaka nakereka yani ana weza kununa kwa kitu ambacho akina hata msingi tatizo kinacho nishinda...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Ni bora uwe na masiliano ya karibu na mzazii mwenzio au bora muwasiliane mara 1 kwa mwezi? Maana mzazi mwenzangu ananipigia x3 kwa siku kila siku na wala haonyeshi dalili ya kuishi na mimi. Hii...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna ishu moja hapa kuhusu dada zetu uwa inanichanganya sana, wanawake na wasichana wanapenda sana kudanganywa danganywa kuliko ukimwambia ukweli na kama ukimwambia ukweli lazima atanuna wiki...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna habari zinaenea kwa kasi sana juu ya wanaume wa Rombo kushindwa kuwahudumia wake zao haswa kwenye tendo la ndoa, kitu kilicholazimu wakenya kuja kusaidia. Hili tatizo kwa Rombo si...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Kuna jamaa mmoja amewaliza madada wengi hasa amewengana sana na wa chuo kwanza yeye hana haraka na style zake za kuwaliza watu zinafana ila wadada wengi hawaongei kwasababu wanaogopa kuchekwa...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Nashangaa sana, sawa amesoma, kazi nzuri, gari ya kutembelea but why brag about it? why showing off? Huu ni udhaifu mkubwa ulionipelekea kuelewa kuwa mwanamke hasa wa karne hii anajitahidi kutaka...
5 Reactions
48 Replies
9K Views
Nimekuwa na mwanamke ana mtoto wa mwanaume mwingine na jamaa alitelekeza mimba ya miezi minne bila hata notisi. Sasa nmekuwa na mtoto na mama ake kwa mda mrefu na hivi karibuni nmeanza kusikia...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Nadhani kuna tatizo mahali au ndio uhuru wenyewe, katika mada 10 zaidi ya nusu zinaelezea juu ya wanaume kulalamika kuhusiana na tabu, shida katika mahusiano kwa mfano juu ya michepuko. Hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sorry, Mimi natafuta mke humu Jf, nina miaka 24,sichagui dini wala kabila,natumaini kuwa nitampata tutakaependana next namaliza chuo hivyo nahitaji wa kuwa naye am tired 2b alone.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za mida, Jana jioni nilipotoka kazini nilipitia recreation place moja hivi nipate moja moto moja baridi wakati nikisubiri foleni iishe ingawa sina Gari ila kwa kawaida ikifika saa...
28 Reactions
143 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…