bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,335
- 404
Nimejifikiria sana mwisho nimefikiria yafuatayo;
1.Biblia inasema kutozaa ni zambi.
2.Ukizaa nje ya ndoa ni zambi.
2.Ukioa mke zaidi ya mmoja ni zambi
Sasa wanaume ni wachache Duniani na wanawake ni wengi, Biblia inamtazamo gani na hawa wana wake? Kwanini usiruhusu tu uhuru wa kuoa, tuwaoe ili wote waolewe.
Kama mwanamke hatataka kuwa katika ndoa ya wake wengi basi ajitoe mwenyewe ili angalau wanawake wengi waolewe na zinaa ipungue, pia dhambi ya kuzaa wakati hujaolewa iishe pia wanawake wote wakiolewa nani atakaa barabarani kujiuza? Hii nazani italeta chachu ya maendeleo.
Kwa pamoja mnapanga mke mkubwa azae wawili na wadogo nao wawili hapa vipi jamani