Jamani, mwenzenu nimevurugwa mpaka nimevurugika,Jana nilirudi kutoka kazini nimechoka sana. Na ninapolala huwa sipendi kukaa na simu kitandani kwa kujua ina madhara kiafya. Ila niliweka mlio wa...
Ilianza hivi, Pindi personal secretary akiingia ofisini kwangu, alikuwa anasogea jirani kabisa na meza yangu. Baada ya kumaliza jambo lililomleta, Atajiongelesha hili na lile. Ataomba nimuelekeze...
Umekazana kuwaambia marafiki zako, siku hizi hakuna mapenzi ya dhati watu wote majanga tu', nani amekwambia hayapo? Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti. Huwezi kusoma Degree ya Law halafu...
Wanajamvi naomba tuelimishane kuhusu hili.
Nimekuwa nikifanya kazi katika taasisi ya shule ya sekondari {boarding}.kumekuwa na tatizo ambalo kwa kweli ni sugu.
Mabinti wengi huzimia mara kwa...
Wadau,
Kwa wale waliobahatika kulelewa katika familia nyingi za mijini wadada wakazi walikua ndo nursery za kujifunzia kamchezo ka watu wazima, ndo maana hadi unakuta mtu yuko kwenye ndoa bado...
Asanteni jamani mlio pm nasema asante sana hakika ukitii utakula mema ya nchi. Nimepata pm nyingi sana naomba kusema zimetosha ili niweze kuchagua mme kati ya hawa.
Asanteni
Oyooooo,
Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine...
Wanajanvi,
Kiukweli bila kupepesa macho, ukioa mwanamke ambaye hana bikira hakika umeoa mke wa mtu. Mambo haya yamewakumba wengi, mwanamke hatakaa akutii kabisa viumbe hawa huwa na shauku ya...
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu, akiwa ameokoka itakuwa vyema zaidi. Umri miaka 23 hadi miaka 27. Napenda awe mrefu akiwa mweupe itakuwa vyema zaidi. Awe...
Wana JF,
Kuna audio nimeiweka hapa kwa mafunzo maalum kuwaelimisha wanawake. Wanawake wengi walikuwa wanajiharibu wenyewe bila kujua eti kisa wanajiswafi. Acha kabisa mnaipotezea radha, manukato...
Uchungu wa mwana aujuae mzazi tena mzazi yule ambae alibeba mimba miezi 9.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nimeishi sehemu mbalimbali tena uswahilini wanawake wanaoishi na watoto wa...
Kama siku wiki imepita tangu rafiki yangu anitembelee nyumbani kwangu na mpenzi wake. Wakakaa siku mbili na kuondoka. katika pitapita zangu nikakutana naye mtaani yule msichana nikapiga nae stori...
Mwanamke ni mama mwenye nguvu unajua kwa nini kwasababu mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanaume
baada ya Mungu kufanya yafuatayo kwa mwanaume;
A. Alimpa usingizi mwanaume
B. Alimfanyia...
Natafuta rafiki wa jinsia yoyote lakini awe msomi mzuri na sio wa kubabaisha angalau ana degree na awe na intelectual ideas na mtafiti wa masuala mbali mbali.
Wana MMU.
nawaletea hii kitu ambayo naamini itakuwa hot sana hapa,
its all about challenges ambazo zinamkuta mtu aingiapo kwenye mahusiano mapya zinazosababishwa na mahusiano ya zamani...
Hivi ukijua mmeo anamchepuko na siku ulipombana sana alikubali kosa na kuahidi kutorudia tena na ukamsamehe kwa dhati na baadae ukaja kugundua kumbe bado wanaendelea utafanya nini? Mind that...