Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
155
Ilianza hivi, Pindi personal secretary akiingia ofisini kwangu, alikuwa anasogea jirani kabisa na meza yangu. Baada ya kumaliza jambo lililomleta, Atajiongelesha hili na lile. Ataomba nimuelekeze applications mbalimbali katika simu yake. Ataniambia, bosi kuna jambo hili na lile. Kikubwa ni kujisemesha semesha tu. Nikahisi kuna kitu. Akaanza kunitumia sms usiku. Meseji za kawaida tu. Mara maua, mara Gnite na meseji kama hizo.

Mimi ni kijana wa makamo, miaka 39 si haba. Huyo personal secretary ana 28 hivi, mzuri sana, mweupe, mrefu na mwenye kujisikia sikia hivi. Siku zikapita, akawa mara kwa mara anaingia ofisini kwangu. Hana cha kufanya zaidi ya kusimama tu na kunitazama tu. Uso wake nilipokuwa nikimtizama, ulionesha kumea kwa penzi lililojaa uoga na hofu. Nilihisi macho yake yakinena "huyu bosi kazubaa sana, kama hajui kusoma.. Hata kutafsiri picha hawezi?"

Siku zilivyokuwa zikizidi kwenda, joto la mapenzi likaanza kunipanda. Siku alipoingia na kusogea ubavuni mwa meza yangu. Nikamuomba anipe mkono wake. Lazima nikiri kwa ukweli, ana vidole vizuri, virefu na laini. Nikaanza kuviliza vidole vyake na kwa kuwa hajazoea kuviliza "wengine wanaita kuvivunja, kuvibonyeza etc" alikuwa akitoa sauti ya maumivu yenye mchanganyiko wa mahaba.

Nikamshika kiuno na kuvipenyeza kidogo vidole vyangu ndani ya sketi na huko nikakutana na cheni ya silver imelala kiunoni mwake. Ninafanya kazi katika mojawapo ya ofisi nyeti hapa nchini. Akili ilinirejea kuwa tulikuwa ofisini tena muda wa kazi, hivyo nikasitisha zoezi letu. Jioni nikawasha ki-mark cha mpenzi wangu wa zamani , hadi mitaa ya kwao. Nikamkuta akiwa anatazama tamthiliya gani sijui.

Nilikaa almost dak 45 tukaongea mambo mengi ya maisha na ya kazi, mapenzi hatukugusia kabisa. Niliaga kuwa narejea kwangu akasema "ngoja nikutoe na nikanunue Azam Juice, maana nimeishiwa kabisa vinywaji vya kuwakirimu wageni" Duka halikuwa mbali, tulienda kwa miguu na kurudi. Nilielekea katika gari ili nirudi nyumbani, nilipomshika bega, akaniangukia. Tukiwa tumeegemea gari, niliingiza mkono katikati na alikuwa amevaa pichu. Nilimchezea kidogo na akaniomba nimuache ili apeleke juice katika friji, nilimruhusu.

Baada ya muda alirejea pale nilipokuwa katika gari. Nilimshika tena mkono na kumvutia kwangu. Nilipoingiza mkono ndani ya gauni jepesi alilolivaa nilibaini kuwa kumbe alipoingia ndani alienda pia kuvua pichu. Nilimchezea sana hadi akawa taabani. Niliondoka bila kufanya nae chochote kile zaidi ya kuchezea. Nilipofika nyumbani niliwaza sana juu ya uhusiano na mchezo ninaotaka kufanya. Niliahidi kuwa sitafanya kitu kama hicho tena.

Asubuhi Nilipofika kazini alikuwa amejaa aibu. Hawezi kuniangalia. Niliingia ofisini na nikamuita. Alipoingia ofisini nilimueleza yote niliyowazia baada ya kuachana nae jana. Alikubali tuache, lakini uso wake ulionesha kutokukubaliana na wazo langu. Na kwa sasa amekuwa kila akiingia ofisini kwangu lazima ajifunue kunionesha mapaja yake na tumbo lake. Nami akinifanyia hivyo, akili zinaniruka. Namvutia upande wangu na kuanza kuutomasa mwili wake laini.
Moyo wangu u radhi, ila akili na utashi vinanizuia.

Ushauri wenu ni muhimu.Nimezama katika mapenzi. Nitatokaje?
 
We mpotezee afu aanze kukutangaza kuwa wewe watu wanatekenya rinda
 
Mbavu za Mbwa

mchunguze kwanza kama hana mume au mchumba au mtu alie zaa nae. km yupo atakusumbua sana.
 
Last edited by a moderator:
maisha ni adventure, chochote kinachotokea na kuja katika mstari wako fanya kile kilicho sahihi, coz kesho na keshokutwa inakua historia then unaanza kujuta.... ova
 
Back
Top Bottom