Mahusiano kati ya umri sawa una madhara gani?

Mahusiano kati ya umri sawa una madhara gani?

bob peter

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
9
Reaction score
7
Wakuu,

Napenda kufahamu kuwa ukiwa upo kwenye mahusiano ya mapenzi na mtu ambaye umri wako na wake upo sawa kwani kunatatizo? Nijuzeni
.
 
Back
Top Bottom