Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

​ If you plan on updating to iOS9, you’ll have access to some interesting new features, including what’s basically a sex diary. Broadly labeled a ‘sex tracker,’ the function isn’t really...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu zangu wana Jf, kuna rafiki yangu yamemkuta ya mwaka! Ameoa miezi mitatu ilopita na wazazi wake wakaja kwenye harus mjini pamoja na shangaz yake,baada ya harusi sasa huu ni mwezi wa3 hawana...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Kuna binti ambae tunapendana sana na tumeahidiana kufunga ndoa, huyo binti ni ndugu wa baba mmoja na mme wa shangazi yangu, namaanisha shangazi yangu anamwita huyo msichana wifi. Wazazi wetu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Habari washika dau, Katika maisha yangu naamini huwezi kuugawa moyo ukawapenda wote wapenzi wa 4. 1. Je wenye wake 4, wanaishije nao?, na yupi hupendwa zaidi 1,2,3 au wa 4? 2. Je hakuna...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari, natafuta mchumba, umri kuanzia miaka 16-50 , sibagui dini wala kabila, wahi nafasi ni chache..
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Ninaomba mnijulishe kama zile sifa mnazoziweka ndio mnazozikuta kwa wahusika au madudu tofauti? Maana na mimi ninampango wa kutangaza nia humu. Kama utaona hupendezewi kuweka hapa unaweza hata ukaniPM
2 Reactions
187 Replies
15K Views
Hivi mke wako au mpenzi wako wa zamani akidhalilika nawewe ina kuhusu? Tuzo za Kilimanjaro Muzic Awards mdada makalio yako nje aibu tupu. Nasikia alikua mzazi mwenza wa mbunge ila ana wazimu wa...
0 Reactions
57 Replies
12K Views
Habarini wakuu, Husika na kichwa cha somo hapo juu. Well, katika maisha na shughuli zetu za kila siku huwa tunapitia (experiences) mambo na mitihani mingi sana hali ambazo wakati mwingine...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Leo mpenzi wangu amenitembelea home maada ya muda mrefu tulichokaa bila ya kuonana. Nikamuomba tutoke kidogo tukatembee, akaniambia nimwache apunzike. Kumbe baada ya kumuacha pale home kapekua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji. Leo napenda unipe uzuri, ubaya, tahadhari au chochote katika hili. Mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae...
0 Reactions
124 Replies
14K Views
Habari za siku nyingi wananchi wenzangu?ebana,nina tatizo na my galfriend,ilitokea tukapishana kauli yapata sasa mwezi,lakini tangu hapo mambo yamebadilika,amekua anapokea calls zangu pale...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Salaam wakuu? Mimi kijana wenu miaka 23 nimejileta hapa kutafuta a life partner. Nilikua na mahusiano 4 years back na toka yavunjike sijajihusisha na mahusiano mengine sababu kua bize na masomo...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
kama wewe ni kijana ambaye una umri wa miaka 25 hii ni speacial kwa wasichana ukipata chance ya kuolewa aisee usiikatae cz i did my reserch about this marriage things nikagundua kuwa unamuhimu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Duh,,,,, jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno....... I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa... Kimoyoyo...
14 Reactions
120 Replies
44K Views
Hata kama mtu kakosea, au umepata kifaa kizuri zaidi, ni vizuri kuwa na ustarabu. Huwezi kujua ya kesho, na huonyesha ni kiasi gani unajua mapenzi. Unajua aslimia zaidi ya 90 wanajuTa maamuzi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wana JF, Natafuta mme kutoka JF. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Umri mwisho miaka 23,ruksa kuni Pm Serious nipo na ni kwa uhusiano mrefu tu
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi naitwa Can, natafuta mke wa kuoa/kuoana naye awe na sura nzuri, tabia nzuri mcha Mungu(mkristo), Elimu yoyote, kabila lolote na Taifa sibagui. Note that:~kua siriazi sifanyi mzaha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, kuna madhara gani ya kuitana majina ya kimahaba kama sweet,baby, mume/mke wangu, darlin, n.k, wakati ndo kwanza mmeanza mausiano. Jamani tupost tukiwa na taswira chanya katika...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari za usiku huu wana JF Kuna binti ambae tumezoeana sana na tumekua marafiki wakubwa tu ila aijawai kutokea nikaenda alipopanga na yeye akuwai kuja ninapoishi ingawa anapafahamu na mimi...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…