Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa umri wa kati ambaye kwa sasa nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wa maisha yangu yote. Nitafurahi kupata rafiki anayeishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana umri wangu ni miaka 30, elimu yangu ni shahada ya uzamili katika elimu, ninaishi mkoani Mtwara. Nahitaji mchumba mwenye sifa hizi: 1. Kabila lalote lile lakn kwa sasa awe mkazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awe na elimu ya formfour awe mwenye mapenzi ya dhati, kuanzia miaka 18 mpaka23
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf, Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Awe wa dini na kabila lolote.Mimi muislam.Umri wangu 38.Mtumishi serikalini. Elimu yangu ya shahada moja. Umri wake usivuke 33. Maswali yatajibiwa PM Karibuni
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mwanamke mfanyabiashara ndiye anahitajika kwangu,na kama upo seriously kama haupo serious hiyo namba iache usichukue. Umri 18-22 NB: Nahitaji mpenzi lakini awe mfanyabiashara 0715152700
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Najiuliza kufanya mapenzi ni kitu ambacho ni lazima kwa mwanadamu au hiari? Pia najiuliza kwa nini wanaume wanapenda tendo hilo ingawa huwasababishia kutoka jasho, kiu na mwili kupungua nguvu...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wadau, Kuna hili neno 'analeta utoto ndani ya ndoa' mara nyingi naliona kwenye kuhusisha ugomvi ndani ya ndoa kati ya mke na mume, kwa wenye uelewa wa hilo neno mambo yepi hasa yakifanywa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Rafiki yangu Mr. Pess baada ya kusota na kazi za "below degree level" na kuona mandeleo hayaji kaamua kujiwekea kijihakiba kwa kula mihogo na maji badala ya lunch. Baada ya kuipata hela ya kutosha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, za saizi? Poleni kwa majukumu. Kuna utafiti nimekua nikiufanyia kazi kwa miezi miwili sasa. Kumbe kuna uhusiano kati ya ukubwa wa mdomo na ukubwa wa papuchi? Nlikua sijui... Binti mwenye...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni jinsia ya me, umri wangu ni mid. 30's, I am well matured, najitambua, nasali kanisa la roman,muajiriwa, darasani pia nimehudhuria kiasi. Sio mnene sio mwembamba, am looking simple...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Natafuta mchumba wa kuoa, awe muislam mwenye iman kwa mola wake, awe na Miaka kuanzia 20-30. Kwa mawasiliano please first E-mail me throught harmarazar759@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari waungwana. Niende moja kwa moja kwenye point, zamani kidogo wanawake wengi walikua na matako (makalio) ya kawaida but siku za hivi karibuni kila mwanamke ana mkia kama wasemavyo vijana wa...
1 Reactions
119 Replies
36K Views
Habari washikadau,tusipoteze muda, Kumekuwa nawimbi la wanawake wa kibongo kuolewa na wazee wa kizungu au wazee wa kibongo wenye mapesa Je wanajamvi hawa kinadada wanakua wanawapenda hao wenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuoa aliemaliza starehe zote.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na...
1 Reactions
33 Replies
16K Views
Kuna dada anapendwa sana anapenda sana mahusiano hayo yamedumu kwa miaka miwili mpaka saivi na hawajawahi kuonana. Jamani hivi kunauwezekano wa kuwa na mahusiano kwa kutumia simu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitwa yasin shabani yasin natokea kasulu kigoma, naumli miaka 22 elim yangu 4m4 niko chuo cha sanaa nambangu 0758036032
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanza kabisa wasalaam wote humu ndani, Nina miaka 26, sina mpenzi wala mchumba cha zaidi kutongoza siwezi kabisaa naishiwa swagaa. Naombeni ushauri ndugu zangu ili niiachane na huu useja...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Mambo zenu wakuu, Natafuta mpenzi wa kike awe Muislamu pia awe Mwanza umri under 22 kwa mawasiliano 0758009251 au kwa email maundabanga@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…