Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha...
12 Reactions
21 Replies
6K Views
Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi...
18 Reactions
140 Replies
5K Views
Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material. Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na...
37 Reactions
273 Replies
29K Views
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya...
34 Reactions
267 Replies
25K Views
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku...
16 Reactions
67 Replies
3K Views
Ndugu zangu kama nilivyokuja kipindi kile na malalamiko yule bwana angu jamani baada ya ushauri wa hapa kweli nilijihidi kumuacha yule bwana maana nilichoka pia aisee, japo haikuwa rahisi Sasa...
5 Reactions
127 Replies
13K Views
Mwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka.. Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa. Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano...
13 Reactions
130 Replies
7K Views
Nilialikwa katika familia moja kwa madhumuni ya kutatua mgogoro wa ndoa, malalamiko ya mke yaliniacha na maswali mengi sana Hawa wanandoa walifunga ndoa yao mwaka jana nadhani haijafikisha miezi...
26 Reactions
57 Replies
5K Views
Salaam, Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige...
18 Reactions
128 Replies
7K Views
Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka! Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna...
14 Reactions
93 Replies
4K Views
Wana JF,, Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua...
0 Reactions
49 Replies
13K Views
Happy Mother's Day Bbade Sky Eclat Khantwe Atoto
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing. Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa...
4 Reactions
1 Replies
404 Views
Ulaghai wa mahusiano mtandaoni hutokea pale ambapo mtu anaamini yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine 'tapeli' katika Mitandao ya kutafuta wachumba 'dating sites' kama vile Tinder na OkCupid...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Baba mwenye nyumba kashakomaa lazma shambaboi asepe kwao wewe lakn wew mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe. Huu mtiti unaishaje wakuu?
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…