Kwanini wasichana wengi wa wapwani hasa maeneo ya Tanga wanapenda sana kutaja mahari ya fanicha? Na hasa hasa kitanda, makochi na kabati? Nini maana yake?
Ahhahhhahhhahha ulitaka akuambie anataka ndoo kwanza ufaham mahari Ni kile akitakacho mke mtarajiwa hivyo hayo ndo aliyoyataka maswali mengine magumuuuu lakini mepesi mno jibu lako waulize hao walioolewa watakujibu kwa ufasaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.