Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
196
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?
 
Pengine ungetudokeza visababishi vya walimu na manesi kuwa na sifa hizo. Je ni sifa nzuri kila kitu mtu kuvumilia tu?
 
Jamani mke mwema sio kazi wala kigezo fulani.....mke mwema mwema ni tabia ya mtu, haijalishi anafanya kazi! Mshirikishe Mungu kwenye utafutaji wako, utapata mke mwema!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom