Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu, Poleni na majukumu ya kitaifa, hapana shaka weakend yenu inaendelea vizuri. Nina mahusiano na binti mmoja yapata mwaka na nusu sasa nikawa nimejiridhisha kuwa anafaa kuwa mke wangu...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Kuna rafiki yangu wa karibu ambae waliachana na mumewe rasmi kwa talaka mahakamani miaka kadhaa iliyopita na sasa nataka nimuoe mimi je, kimaadili inawezekana? Ipo hivi-...
4 Reactions
65 Replies
11K Views
Habarini wakuu, Nimekaa nikajiuliza kwanini pindi watu wanapoanza mahusiano mapenzi yanakuwa motomoto ila inapofika muda fulani mapenzi yao ufifia na mtu anafikiria kuwa na mchepuko. Nini...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wanajamvi naja tena, Hii ndo imekua fasheni ya mapenzi ya Mjini kwa wale wanao jua wata ungana na mimi, ipo ivi" kama huna hela wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji " upo apoo?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Asalam wadau, Mimi n mgeni katika jamvi naomba kukaribishwa, Nakuja moja kwa moja na mada husika kuna jamaa mmoja mtaani ana msichana wake anataka kufunga nae pingu za maisha lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za usiku huu ndugu zangu, Bwana Yesu asifiwe kwa wale wa mlengo wangu. Dada zangu mimi nimeokoka(born again) kwa sasa nina kama 7 month since nimeokoka, nipo katika mahusiano for 8 yrs...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya. Natafuta mchumba au mke wa kuoa . Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mimi ni binti wa miaka 22 natamani niwe na mchumba kutoka humu.Mie bado mwanafunzi ila wachuo Sifa zangu: Rangi yangu maji ya kunde nina macho ya kusinzia, nina lips nzuri, ninamguu mzuri, chuchu...
8 Reactions
215 Replies
29K Views
Mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rafiki wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia Diploma hadi PHD, mwenye nia...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine...
0 Reactions
112 Replies
15K Views
Habari zenu wana JF, Naombani ushauri wenu, Nina rafiki yangu wa kiume nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa, tunaendelea vizuri kwenye mahusino tatio linakuja kwenye sex life yetu, sijui ni...
0 Reactions
139 Replies
16K Views
Nimeshakuwa katika mausiano na wasichana tofauti, mara ya mwisho nilikuwa na mahusiano na dada wa kijerumani,huyu kwa mara ya kwanza tulifikia mpka kutambulisha kwa wazazi.Siku kadhaa zilizopita...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeshawishika kuajiri kwa sababu mimi ni mvivu wa kufanya usafi wa ndani. Kitanda natandika mara mbili kwa wiki siku za weekends. Napata hasara ya kununua...
1 Reactions
97 Replies
13K Views
Ilikuwa miaka ya 90 mwanzoni nikiwa std 7, nilikuwa na girlfriend ambaye tulikuwa tukisoma darasa moja. (tulikuwa kwa wakati huo hatujawahi kusex japokuwa tulikuwa tukiandikiana barua na mapenzi...
5 Reactions
32 Replies
8K Views
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji kama mimi...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wana Jamii forums. Kama kawaida yangu leo nipo tena kujadili mada hii,je wajua kitu kinachovutia zaidi kwa mwanamke, watu wengi nimeshawahi kuwauliza swali hili lakini kila mtu alinipa...
24 Reactions
127 Replies
31K Views
Habari zenu, Hali ya hewa ni bariki huku nahitaji mke wa makamo miaka 30 mpaka 35 kwa mahusiano ya muda mrefu mimi nina 25. Nicheki kwa 0764852965
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Ni mda sasa tokea nimekuwa nikiskia habari za kwamba mtu flani katendwa na mpenzi wake, mara kasalitiwa, mara kaliwa hela na kutoka mswaki katika mission hasa wakiumeni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari, Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote na dini yoyote. Mimi nipo Dar. Kwa yeyote aliyetayari tuwasiliane kupitia namba 0783517972 pia napatikana whatsapp kwa hiyo namba. Nipigie au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…