Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wana Jamiii forums.

Kama waida yangu nipo hapa kujifunza na kupeana maarifa,Leo nimeona niongelee udhoefu wangu juu ya kuishi na mwanamke ili akuheshimu,swala la kwanza kabisa ukitaka mwanamke akuheshimu kwanza jiheshimu mwenyewe,unapoanza mahusiano na mwanamke siku zote mwanzo wa mahusiano yenu mwanamke lazima akujaribu.

Kwa namna yoyote iliakuchunguze udhaifu wako,anaweza akakukosea maksudi ili akupime utafanya nni,kwa mfano unaweza ukampigia simu siku nzima asipokee simu yako halafu kesho yake ukampigia akapokea simu na ukimuuliza kwa nni jana yake hakupokea simu akakujibu "alikuwa busy", ikitokea hali kama hiyo ujue hiyo ni "shit test"hapo mwanamke anakujaribu " are you a real man".

Kama ukionyesha haujafurahishwa na jibu lake na umekasirika atajua wwe ni"mwanaume kweli",lakini ukilichukulia jibu lake kawaida2 atajua wwe ni zoba"fake man",siku zote mwanamke mwanzoni wa mahusiano atakupa "shit test"nyingi sana,lakini kumbuka usemi huu" kill the monster while still little " siku zote ukiishi na mwanamke "don't torelate shit"mwanamke akikukosea kosa mwambie hapohapo.

Ili ajirekebishe usivumilie makosa akikufanyia cause sometimes mwanamke ni kama mtoto usipomuonya anaweza akarudia kosa like lile kwa madai kwamba alikuwa hajui kama ni kosa coz before hukumwambia,jambo jingine mwanaume ukiishi na mwanamke kumbuka mpenzi wako ni rafiki yako lakini kumbuka wwe ni rafiki yake na pia ni kiongozi wake" your a leader she is follower".

Wanawaume wengi huwa wanakosea wanawafanya wapenzi wao kuwa marafiki zaotu nafasi zao za kuwaongoza huwa wanazisahau,kuna baadhi ya wanaume ukimkuta anaongea na mpenzi wake wamezoena mpaka tabia zimefanana kama mwanamke ni mbeya utakuta na mwanaume naye anaanza kuwa mbeya kwa stahili hiyo mwanamke lazima utachapiwa na atakuwa anakudharau,be a man play your part as leader mfanye mpenzi wako awe rafiki kwa mda tu sio mda wote.
 
Nafasi yangu ipo wapi hapo, nimemtumia message imedeliver na hakujibu, kaonekana insta na akabadili wasap status at the same time of delivery,kumhoji oooh! simu ilizima before sijareply text yako.

Nikaonesha kukerwa how comes she like pics on instagram, changing watsap status na uniambie simu ilizimika, that means aliignore my text,bby sory nyingi kwa sana,je nilitimiza wajibu wangu as a man?
 
Haikuhitaji kuwa na mali nyingi ili kujipatia heshima mbele ya mwanamke wala haikuhitaji kutumia mabavu ili kuipata heshima yako mbele ya mwanamke bali unahitaji tu kuuvaa uanamume wako mbele ya mwanamke na kuuvaa uanaume haimaanishi kuwa mbabe mbele ya mwanamke au kutumia lugha kali dhidi yake.. la hasha bali ni kumuheshimu na kumuonyesha dhahiri thamani yake ndani ya uso wa dunia.

Mwonyeshe kwanini alipaswa kuwa na wewe na sio mwanaume mwingine mwonyeshe tofauti yako na kule alikotoka.Onyesha maana ya mwanaume kuwa kiongozi wa mwanamke ambapo ni kumtimizia mahitaji yake yote hapa namaanisha mahitaji yote yakiwamo na mambo yetu yale pamoja na kumshauri mambo yenye mantiki na yanayotekelezeka na sio kuwa dikteta wa kauli na vitendo.

Mwanamke hujisikia raha akipewa hata elfu moja na mwanaume ili hali yeye ana millioni kumi ndani kwani mwanamke huwa anaamini kupewa na mwanaume ni alama ya kuwa unamjali na bado nafasi yake ipo ndani yako.

Mfanye kila siku akuonapo iwe ni sababu ya yeye kutabasamu na kuwa na furaha na sio karaha kwake.Pia onesha msimamo wako katika mambo ya kijinga lengo ni kumuweka kwenye mstari,hapo utajipatia heshima yako bila mabavu.
 
KikulachoChako
Aisee hii hekima ni kama ni baba wa hekima suleimani nimeipenda sana.
 
Last edited by a moderator:
Heshima jiheshimu, muheshimu na mjali la msingi usipende kulelewa. Uwe na maamuzi sio una split personality aisee utadharaulika. Siafikiani nawe kwenye urafiki, mpenzi wangu nataka awe rafiki pia na sio wa muda,nataka niwe huru kuzungumza au kufanya lolote, mambo ya master and messenger hayafai kwa kweli.

Mwanaume kamili, ukiweka limit zako hatokuingiza kwenye issue za kike kike hasa zile za umbea, kama unaletewa habari hizi ujue toka mwanzo unazo hizo zitabia za ushakunaku.
 
Hujakosea hata mi huwaga hivyo yaani ukikata tamaa tu najua hata kwenye ndoa utakua hivyohvyo.
 
Ndugu umenena, hii ni kweli tupu hasa hapo mwishoni, yani unakuta mwanaume anavyoongea na kufanya jambo akiwa na mke wake, utafikiri mtu na shoga yake hatari sana.
 
Back
Top Bottom