Mida ya kulala ukiwa na mpenzi wako kati ya nyimbo za boys II to men na Philip Collins unaenjoy nyimbo za nani?
Phil Collins ni nguli yule...huwezi mlinganisha na vijana hao.
Kwanza jaribu kuhesabu wana albums ngapi afu ujaribu kujiuliza mkongwe Phil Collins ana ngapi...tena hit songs za kutosha!
Siwabezi Boyz ll Men but najaribu kuwa MKWELI.
Umenikumbusha kuna mshikaji anapigaga game na mpini ya Bob Marley and the wailers. Kwa kifupi ni raggae mwanzo mwisho!
Umenikumbusha kuna mshikaji anapigaga game na mpini ya Bob Marley and the wailers. Kwa kifupi ni raggae mwanzo mwisho!
kuna msukuma alikuwa jirani yangu alikuwa analala na ngwasuma,yaani ngwasuma hizi dombolo,kina awilo ye analala nazoUmenikumbusha kuna mshikaji anapigaga game na mpini ya Bob Marley and the wailers. Kwa kifupi ni raggae mwanzo mwisho!
Mkuu ila Philip collins namkubali sana ''one more night''