Wenye miili laini

Wenye miili laini

lift gharama

Senior Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
107
Reaction score
66
Jamani wanajamvi salaam;

Nimeona watu tuna miili tofauti. Utakuta mwanamke au mwanaume ana mwili laiiiini. Ukimshika mkono laiiini. Hivi hii hali ina mahusiano na uwajibikaji kwenye viwanja vya six kwa six? Kwamba huko nako ni walaini na wananepa vizur.? Mwenye ufahamu atushirikishe.
 
Kuna mdada mmoja hadi nilishangaa sana aisee, mwili wake umejishindilia haponyei hata khaaa!! yaani kama mpira wa miguu ule ambao umejazwa upepo ndiiiii
Halafu sasa she was so young, ndo nikashangaa ugumu huo unatoka wapi sijui, yaani nyama za mwili zimejishindilia balaa
 
Umenifanya nicheke kwa sauti kiongozi... Asante
 
Mkuu wewe ulikua unataka ambae akitema mate yanadunda ??
 
Back
Top Bottom