For Real

For Real

Joined
Jun 23, 2015
Posts
48
Reaction score
10
Wanawake wa siku hizi utawasikia mimi nataka mwanamme wa ukweli ambae yuko real wakati ukimuangalia yeye ana hips fake, makalio fake, rangi fake sasa utapataje mwanamme ambae yuko real wakati wewe mwenyewe huko real?

#NiMawazoTu
msikasirike madada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom