sa si kauliza kama mnaweza kuwaambia wenzi wenu au la!!!Mtakua hamna nguvu za kiume nyie mmesambaa hapa kama chakula cha kuku piteni hivi
Mme navumilia japo sidhani kama ni good kusema direct kuwa nguvu zimeisha anambie hata ana mawazo tu
kama ni mchepuko ndo goodbye hata salamu sitaki
sa si kauliza kama mnaweza kuwaambia wenzi wenu au la!!!Mtakua hamna nguvu za kiume nyie mmesambaa hapa kama chakula cha kuku piteni hivi
Hivi bado kikao cha Dom hakijaisha!???
Hujataka tu kuelewa mada ipo uchi kabisa yani ipo waziHajaeleweka!!
Title ukawa content kidumu atasaidiwaje sasa
Tena na mwanaume LIJARIHivi umeolewa dada?
Kaka Evelyn...Ivi ww ni Me au Ke tuanzie hapo
Tena na mwanaume LIJARI
Na ya tatu ntaenda kuongeza ulaya
Hii ni mada lakini ni jambo linalotukumba wanaume wengi, hivi mwanaume anaweza kuwa jasiri na kumwambia mkewe au mpenzi wake kuwa ameishiwa nguvu za kiume? Na je wewe mwanamke jambo hili unalipokeaje ikiwa utaambiwa hivyo na mmeo?
Habari angu ni poa, Mie mwenzio napenda ugonvi kuliko chakula ha ha ha haAhahahahahaha isiwe ugomvi bae Evelyn.......habari yako mie ugomvi siwezagi kabisa