Semina yamuumbua mwenzetu guest

Semina yamuumbua mwenzetu guest

caxton

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
145
Reaction score
157
Mwezi uliopita tulikua semina mimi na wenzangu kama watano hivi mkoani, staff wetu wa zone hiyo walikusanyika hapo mkoani kwa ajili ya capacity building.

Sasa kuna mwenzetu mmoja aliamua kuondoka huku Dar na bibi ili awe anajipumzisha usiku baada ya semina, kwa kweli alikua ni binti alieumbika haswa.

Karibia wote tuliotoka Dar tulipewa vyumba vinavyotazamana, usiku kama wa saa sita nikasikia malumbano kutokea kwenye Chumba cha mwenzetu alie na bibi, mwanamke alikua anasema.

"" Yaani masaa mawili yote pamoja na kukuchezea kote huko unashindwaje kusimamisha? Mi nimeshachoka tulale bana tutajaribu tena kesho"" mwanamke alikua ameshakunywa pombe akawa anaongea kwa sauti juu, yule mwenzetu anamwambia ongea taratibu wenzangu watasikia huko nje.

Saa nane usiku nilistuka usingizini bado nikakuta wanaendelea kumbembeleza babu ainuke bila mafanikio, asubuhi saa kumi na moja nikasikia mwanamke analalamika kimahaba kumbe ndo imekubali asubuhi haijulikani yule Dada aliifanyaje hadi ikakubali, kila siku hali ikawa ni hivyo hivyo.

Ndipo nikagundua kumbe ukimsikia mtu anajitapa kwamba yee anajua kugegeda ujue hapo hamna kitu, huyu jamaa kazini story zake kutwa nzima huwa anatuadisia ni jinsi gani anavyowasulubishawasichana wakiwa kitandani, hadi wasichana kazini huwa wanamuogopa, maana anasema kwake yeye wanawake huwa wanakimbia na chupi kichwani, anadai wengine huwa wanasahau hata kufuli zao kwake.

Cha kusikitisha jamaa hata kuoa hajaoa halaf dushe ndo kama hivyo hadi mwanamke alibembeleze haswa ndo liamke siku zingine lilikua linakataa wanalala hivyo hivyo hadi asubuhi.

Yote tisa, kumi, mwenzetu mmoja mwanadada ambae ni chizi chizi flani hivi tuliporudi dar akaanza kumtangaza Mshikaji kazini kwa mademu wenzie, hadi sasa ndo talk of the office si mnajua tena utani wa maofisini. Wanatamka kwa kejeli jogoo la kuchora halafu wanacheka cheko refu.

Kwa kweli jamaa hana raha kabisa, kumbe sio mimi tu niliekua nikisikia mazungumzo yao usiku na wenzangu walisikia pia
Ndo yale ya Jf kila mwanaume Jf ni bingwa wa kugegeda, hakuna asiejua kugegeda humu ndani.
 
Kuna jamaa mmoja humu jf ndio zilikuwa story type zake hizi,story zake kila siku ni za kusikia watu wakiongea jambo flani,jamaa jina lake limenitoka.umenikumbusha huyo memba kwa story hii
 
Yanakuhusu nini matatizo ya watu?wenzio tupo bussy dodoma we unawaza maisha ya watu?mamba we
 
Huyo jamaa aachane na bia.Ana nyemelewa na kisukari.sasa hiyo mida ya SAA kumi kumi namoja asbh blood sugar level unakuwa powa na machine inaanza kupokea network.MPE pole yake. Kwa hiyo usimcheke....Ni kweli kwenye timing zake huenda kweli madada wanaachaga vyupz
 
mkuu kwa hiyo na wewe ulikua hulali kila siku unaskilizia jogoo la jamaa liamke,duh, nina mashaka na jinsia yako.
 
Mwezi uliopita tulikua semina mimi na wenzangu kama watano hivi mkoani, staff wetu wa zone hiyo walikusanyika hapo mkoani kwa ajili ya capacity building.

Sasa kuna mwenzetu mmoja aliamua kuondoka huku Dar na bibi ili awe anajipumzisha usiku baada ya semina, kwa kweli alikua ni binti alieumbika haswa.

Karibia wote tuliotoka Dar tulipewa vyumba vinavyotazamana, usiku kama wa saa sita nikasikia malumbano kutokea kwenye Chumba cha mwenzetu alie na bibi, mwanamke alikua anasema.

"" Yaani masaa mawili yote pamoja na kukuchezea kote huko unashindwaje kusimamisha? Mi nimeshachoka tulale bana tutajaribu tena kesho"" mwanamke alikua ameshakunywa pombe akawa anaongea kwa sauti juu, yule mwenzetu anamwambia ongea taratibu wenzangu watasikia huko nje.

Saa nane usiku nilistuka usingizini bado nikakuta wanaendelea kumbembeleza babu ainuke bila mafanikio, asubuhi saa kumi na moja nikasikia mwanamke analalamika kimahaba kumbe ndo imekubali asubuhi haijulikani yule Dada aliifanyaje hadi ikakubali, kila siku hali ikawa ni hivyo hivyo.

Ndipo nikagundua kumbe ukimsikia mtu anajitapa kwamba yee anajua kugegeda ujue hapo hamna kitu, huyu jamaa kazini story zake kutwa nzima huwa anatuadisia ni jinsi gani anavyowasulubishawasichana wakiwa kitandani, hadi wasichana kazini huwa wanamuogopa, maana anasema kwake yeye wanawake huwa wanakimbia na chupi kichwani, anadai wengine huwa wanasahau hata kufuli zao kwake.

Cha kusikitisha jamaa hata kuoa hajaoa halaf dushe ndo kama hivyo hadi mwanamke alibembeleze haswa ndo liamke siku zingine lilikua linakataa wanalala hivyo hivyo hadi asubuhi.

Yote tisa, kumi, mwenzetu mmoja mwanadada ambae ni chizi chizi flani hivi tuliporudi dar akaanza kumtangaza Mshikaji kazini kwa mademu wenzie, hadi sasa ndo talk of the office si mnajua tena utani wa maofisini. Wanatamka kwa kejeli jogoo la kuchora halafu wanacheka cheko refu.

Kwa kweli jamaa hana raha kabisa, kumbe sio mimi tu niliekua nikisikia mazungumzo yao usiku na wenzangu walisikia pia
Ndo yale ya Jf kila mwanaume Jf ni bingwa wa kugegeda, hakuna asiejua kugegeda humu ndani.

Hahahahaaaaa! mkuu umenikusha moja ya kule kwetu! kwamba ukiingia na demu chumbani kwa mara ya kwanza atatumia mbinu ili aweze kujua kama anaweza kuhimili mikimiki baada ya kuona "omutembe", akiona ni oversize atakwambia "sigambere njosirora" akiwa na maana kwamba ngoja kwanza niende kukojoa!!!! Hapo atapata mwanya wa kusepaa hata kama itabidi abebe pichu kichwani!! hahahaha!
 
Back
Top Bottom