Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
Ukitizama tendo hilo la busu la mdomo kwa mdomo kwa kina, si la kufurahisha sana, kuna kubadilishana mate, ambayo kwa wastani, yana bakteria zaidi ya milioni 80 na si wote wazuri, lakini kwa hakika kila mtu anayeshiriki tendo hilo hukumbuka busu lake la kwanza kwa undani hata kama lilipendeza ama lilikuwa la kuaibisha.
Na kwa hivyo ni tendo ambalo linaendelea kuwa msingi wa kuashiria mahaba. Katika jamii ambazo bado zimejikita katika mila na desturi, hakuna ushahidi wa chanzo cha busu kama ishara ya mahaba. Kwa mfano katika jamii ya Mehinaku nchini brazil, wnachukulia kubusu kama kitendo cha uasi.