Je, una mtoto asiye na baba? Nipo hapa

Je, una mtoto asiye na baba? Nipo hapa

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,005
Reaction score
22,110
Je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali?

Nimejitoa Kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa Kuwa karibu na mtoto, kucheza nae, kumfundisha maadili mema/ hofu ya Mungu, kumfundisha maarifa mbali mbali ya mtaani, darasani na nyumbani.

Sihitaji mahusiano ya kingono na mama wa watoto, wito wangu ni ulezi tu.
 
Kwani wale wa ndugu zako hujawaona?????????? m so wonders kwakweli
 
Mkuu Humphnicy hongera kwa wito.
Nimeona taasisi moja imeanzishwa na wanaume walozaa nje ya ndoa ikitoa msaada kwa watoto walozaliwa nje ya ndoa.
Napenda kukutia moyo kuwa inawezekana na watoto hao wako wengi wakikosa huduma muhimu simply because kimsningi babalazima atakuwa amebase kwa family ile anayoishi nayo na wakati mwingine hiyo family Haitambui uwepo Wa huyo innocent kid.
 
Fuata sheria ya kuwaasili, mkuu!

Sitaki Kuwa adopt ninachokifanya ni kuwapa company na guidance as a father. Watoto wanahitaji mapenzi na malezi ya baba na mama. Hii huduma natoa kwa nyumba kadhaa na tunaotoa huduma Hii tupo wababa sita, na wewe unakaribishwa Kama Una nia na dhamira ya dhati ya kuwa na taifa bora
 
je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali?

Nimejitoa kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa kuwa karibu na mtoto, kucheza nae, kumfundisha maadili mema/ hofu ya mungu, kumfundisha maarifa mbali mbali ya mtaani, darasani na nyumbani.

Sihitaji mahusiano ya kingono na mama wa watoto, wito wangu ni ulezi tu.
je wewevuna watoto na mke
 
Je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali?

Nimejitoa Kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa Kuwa karibu na mtoto, kucheza nae, kumfundisha maadili mema/ hofu ya Mungu, kumfundisha maarifa mbali mbali ya mtaani, darasani na nyumbani.

Sihitaji mahusiano ya kingono na mama wa watoto, wito wangu ni ulezi tu.

Kituo chako kiko wapi na kinaitwaje?

Vv
 
Sitaki Kuwa adopt ninachokifanya ni kuwapa company na guidance as a father. Watoto wanahitaji mapenzi na malezi ya baba na mama. Hii huduma natoa kwa nyumba kadhaa na tunaotoa huduma Hii tupo wababa sita, na wewe unakaribishwa Kama Una nia na dhamira ya dhati ya kuwa na taifa bora

Mkuu samahani kwa swali langu?
Una kazi/ajira/kibarua/biashara unayofanya binafsi yako?
Au hii ndo kazi yenyewe?
 
Uko free kiasi gani kwa siku? au masaa mangapi?age yako kabila na dini yako plz....
 
Lakini mkuu, hapo sijaona ukisemea utawahudumia mahitaji (pesa).
Au nimekosea kusoma!?
 
hapa anatafutwa house boy/girl ila mkuu mwisho wangapi hao watoto unahitaji kuwapa msaada?
 
Back
Top Bottom