Kuchelewa kufika kileleni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchelewa kufika kileleni..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Dogo, Dec 28, 2010.

 1. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ninaomba wataalam na wazoefu wa mambo haya wanisaidie kwa hili, ni kweli watu wanaofanya mazoezi makali sana na ya muda mrefu wana matatizo ya kuchelewa kufika kileleni?
  Kama ndvyo ni kwa nini hasa? na kama sivyo mazoezi yana mchango gani katika mapenzi?
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanza nikusahihishe. Kwa mtizamo wangu kuchelewa kufika kilele sio tatizo, tatizo ni kuwahi kufika (Mwanaume). Hili inawezekana linaukweli kidogo, lakini kunawazembe sana ktk mazoezi ila 6x6 usipime. swala la hili in most cases linakuwa associated na saikolojia.
   
 3. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ok, nashukuru kwa usahihisho wako, may be ni kiwango gani cha mazoezi ambacho ni reasonable kwa mwanaume ili kisiweze kumsababishia shida hizo za kumuacha mwenzake?
   
 4. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Pia nasikia wanawake wenye mazoezi makali wanachelewa sana kufika kileleni, hili likoje wadau?
   
 5. c

  chechekali Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka ni kweli tatizo sio kuchelewa kwa mwanamume kufika kileleni tatizo ni unapowahi kabla mwenzi wako hajafika....ila isikupe shida una weza kufanya zoezi dogo ila linahitaji concentration. Chini ya kende za mwanaume upande wa kulia karibia na njia ya haja kuna mshipa unaoitwa pubococcygeus muscle ambayo inacontrol flow of urine na kipindi cha ejaculation. Jitahidi kichunguza na ukijisjia kupeez bana huo mshipa kwa muda iyo hali itapotea na utaanza kusex upya. you can get two orgasm in one. Yni bao mbili kwa moja. or read more on http://www.pcmuscle.org
   
 6. kapug

  kapug Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii njia kweli haina madhara?
   
 7. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ok thanx kwa ushauri, so inabidi uchomoe mdudu then uutafute ndipo uupige roba, three in one inaruhusiwa?
   
 8. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hivi kwani tatizo la kuhitimisha mapema halipo kwa girls? Mbona linalalamikiwa sana kwa boys peke yetu...
   
 9. m

  mams JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  It is all about psychological factors, concetrate when performing and have funny!
   
 10. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Concentration inapokuwa kubwa pale kitandani mi nadhani unaweza hata kujifunga mwenyewe badala ya kumfunga mtu, unaonaje kama mtu ukifanya ile kitu halafu una mawazo ya stress za kazini, aaahhh, aisee unaweza kesha?
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani ukisikilizia utamu kwa saaana mapema ndio unamaliza mapema, hivyo mwanzoni wewe sugua sugua tu ila baadaye ukiona demu iko tayari ndipo nawe vuta hisia kunako kitu. Lakini bao la kwanza kama hujapata ile kitu muda mrefu ni ngumu kulibana, hapo itabidi demu asibubiri tu bao la pili ili nae afaidi.
   
 12. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hivi hakuna namna ya kulizuia maana yake halichelewi kuchafua njia, au linatakiwa kupigiwa kwa kondom halafu the second one ndo likashuhudia mtanange wa ukweli
   
 13. Ayochemical

  Ayochemical Member

  #13
  Jul 23, 2015
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  jaman nais nna tatizo mbegu znachelewa kutoka mwenzenu naweza nkasex hata masaa matatu lakin mbegu ni za kutafuta...nkilala na mwanamke mpaka anaisivmaumivu na situmii kondomu...msaada jaman wanardhka ila nais ni tatizo mbegu znachelewa sana
   
 14. m

  mbingunikwetu JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2015
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,327
  Likes Received: 2,972
  Trophy Points: 280
  Tatizo hilo halipo kwa wanawake, na likiwepo halitakuwa tatizo! Hii ni kwa kuwa mke akifika mapema kabla ya mume, hiyo haimzuii mume kuendelea na mchezo na hivyo kupelekea mke kufikia vilele vingi, na hiyo ni raha mpaka basi! Mume akifika kileleni mapema ni tatizo kubwa sana maana huo ndio mwisho wa safari mpaka baada ya dakika kadhaa, hivyo kumwacha mke njiani! Hiyo husababisha kero kubwa!
   
Loading...