Hili jambo nimelichunguza kwa muda nimebaini kwamba wanawake wengi wa kitanzania hupendelea wanaume walioajiriwa kuliko waliojiajiri.
Haijalishi kama umeajiriwa na nani au nini na unalipwa kiasi...
ndugu zangu mimi nina dada yangu mtoto wa baba yangu mdogo but tunaishi nae home baada ya baba yake kufariki basi mzee wangu akachukua jukum la kumlea mpaka akakua basi kwa bahati mbay CSEE result...
Jamani tangia nitoke tumboni kwa mama yangu mpaka leo sijawahi kufanya mapenzi na mwanmke yoyote.Eti jamani alafu sui kutongoza.
Any grly ambae yuko tayari kua na mimi nicheki whatsapp basi.
Kwa...
Habarini za jumapili wanajamvi, hili swali nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu sana lakini nalipuuzia, na leo tena nimeona ndio nimeamua niwaulize......nimetoka zangu kanisani nikapita sehemu kupata...
Habari wakuu. Mimi nilikuwa nime`date na wasichana wawili. Huyu mmoja nililala nae nikampa ujauzito. Lakini yule wa kwanza kama ndo nawamini zaidi na ninampenda japo hajui kwamba nimempa mimba...
Kuna tabia ya kuchungulia.msg.nk..si mbaya na si ubaya.utarajie haya majibu unapochukua namba toka simu ya.mumeo na kupiga kwa yule una hisi awara
1)UMEMALIZA
2)SIMU YA KWAKO
3)ULIJUA UKO...
Ukiacha wale wenye matatizo ambayo muda mwingine inawapelekea kukaa hospitali labda miezi miwili au mmoja kabla ya kujifungua.
Ila kuna hii mtu miezi mitatu kabla hajajifungua anahamia kwa...
Wangapi na wangapi wamejenga majumba lkn hawakuyakalia wamekusanya mali lakini hawakuzila na wengine wamezila lakini hawakushiba.
Ulizaliwa na mama yako ewe mwanaadamu huku unalia na watu pembeni...
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki...
Niliposema babe simama we uliendaaa,nimeamini wewe sio binadamu ni kinyongaaa,nimedanganywa na uzuri wa nje ndani unatokotaa,na umeniponda kwa nguzo iliyozungushwa miba nguvu tenaa...
Naomba niulize, juzi juzi nimetairi watoto wangu wawili (vidume vya mbegu), lakini ma mkwe akatuita chemba na katuonya haturuhusiwi kudinyanya wenyewe wala kuchepuka mpaka watoto wapone kabisa...
Awe na sifa zifuatazo;
1 .Awe mcha Mungu
2. Elimu atleast form 6/diproma na kuendelea
3. Umri miaka 21 hadi 24
4. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene sana awe normal
5. Rangi ya ngozi isiwe black...
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.
Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la...
Kuibiwa sio tatizo, shida ni kuibiwa bila kutambua, ujanani nilikuwa na mpenzi kila nikiacha wallet anachomoa, mimi naweka hesabu. Siku ya siku nikampa jumla aliyojichumia so far! Alafu sikumwacha...
jamani habari za Leo wapendwa, kama ilivo heading pale juu!
Namtafuta sana Huyu dada popote alipo naomba anitafute plzzzz plzzzz tulikutana humu kwenyejukwaa hili tukafahamiana na tukawa...