Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Niliposema babe simama we uliendaaa,nimeamini wewe sio binadamu ni kinyongaaa,nimedanganywa na uzuri wa nje ndani unatokotaa,na umeniponda kwa nguzo iliyozungushwa miba nguvu tenaa sinaa🎶🎶🎶🎤
Sawa nimeumiaa ila nitazoeee,ikiwa dunia duara ipo siku na wee yatakutokeaa🎶🎶🎶🎤
nakuombea mola akuepushie madhara, maisha sio masihara ipo siku utanimbiaa🎶🎶🎶🎶🎤
Hawa vijana wanaweza sana,sio vibaya mwana Jf ukaiba mda wako kuusikiliza huu wimbo wa MO MUSIC unaitwa NITAZOEA