As you get older, shifts in your appearance may make you more self-conscious and less willing to reveal yourself physically to your partner. That can hamper your love...
Heshima kwenu wakuuu,
Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.
Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme...
Jamani wadau nisaidieni ushauri mpenzi wangu(wife to be) ameniambukiza gonorrhea(kisonono). nifanyeje na dalili zake zimeshaonekana kabisa.
Naomba ushauri wa tiba na kama ni sahihi kama nikimwacha.
Naitwa james wa mbezi beach natafuta mtoto mzuri niwenae mapenzi yakikorea tuoane , ninaumri wa miaka 25na ninafanya kazi TRA, binti awe mrefu kiasi mwenye miaka 18-23 na mwenye tabia nzuri namba...
Niaje ni vipi humu,ebwana eeh soon na hapo mjini kati Arusha.
Nahitaji marafiki huko wa Jinsia yoyote,mimi ni Boy 22yrs.
Aliyetayari anicheki 0718388638
Kwa wale wanandoa wapenda michepuko download program hii inaweza kukulindia ndoa yako hasa kwa mke au mume anayependa kupekua hovyo simu yako.Program hii inaitwa NQ VAULT, hii uweza kutunza picha...
Miaka kadhaa huko Uchina, Binti aitwaye Li- Li aliolewa na akaenda kuishi kwao mumewe na mama wa mumewe.Ndani ya muda mfupi Li-Li alijikuta hana maelewano kabisa na mama Mkwe wake.
Tabia zao...
Asilimia kubwa ya wanawake, akimaliza kuoga atafanya na mambo mengine madogo madogo ikiwa ni pamoja na kujiswafi papuchini halafu baada ya hapo akitoka lazima asahau chupi bafuni.
Ni kwanini mna...
copy & paste
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamumdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji
elimu hii...
Hivi inawezekana kuwa mke wa rais kutoka chama kingine?
Lowasa baada ya kukatwa kahamia Chadema na my wife wake je kubaki CCM asingekubaliwa?
Au kusingekuwa na upendo?
Mwenye ujuzi karibu
Habari,japo Ninakipato Kidogo Nitajiri Wa Furaha Na Upendo .jinsia Yangu Ni Mwanaume.Natafuta Mke Ataenipenda Kwa Kila Kitu.Sina Kaz Ya Uhakika Ila Inaningizia Kipato Na Kufanya Mambo Makubwa.Mke...
Yaani bedroom, mke hata awe mstaarab kiasi gani kikawaida huwa anameza nafasi ya uhifadhi wa nguo.
Kama ni kabati atajaza nguo zake mpaka wewe uhamie masandukuni na huko usipokuwa makini utakuta...
Habari ndugu zangu wa Jf,
Naamini hapa huwa napata ushauri usio na hila.
Mimi ni mwanamke niko single, niliachana na mwanaume huyu baada ya kumweleza kuwa nimepima nikakuta nina ujauzito wa...
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na...
Niko kwenye kipindi kigumu sana wana MMU, nahitaji msaada wenu kwa ushauri na mengine.
Iko hivi;
Nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye pia alinipenda, mahusiano yetu yalianza kama urafiki...
Nimeoa kwa bahati mbaya nikagongwa fain 1.5ml, wakati nina mahusiano na huyo mwanamke kwenye akaunti yangu kulikua na 1.2ml na alikua anajua.
Lakin cha ajabu wakati najitetea kuwa sina hela ya...
Naitwa xamwel kutoka kwa wakulima wa ndiz a.k.a the green city. natafuta mchumba, mwe umri wa miaka 18_20. kama upo tayal nitafute kwa 07144356910 au mwakalikenes@gmail.com. thanks
Habari wana MMU,
Leo nimeamua niwashirikishe hili ili mnisaidie mawazo ama ushauri.
Japo ni uzi wangu wa kwanza nategemea kupata mengi kutoka kwenu.
Nina mpenzi ambaye tunapendana sana,shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.