jogoo kishingo
Member
- Jul 10, 2015
- 13
- 1
Nahitaji binti mwenye sifa zifuatazo:
1. Mrefu but sio saana.
2. Blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe.
3. Umri 18-24
4. Awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club na kujirusha all the the time.
5. Awe ameajiriwa au ni mtu wa mishemishe ili kuimarsha kipato chetu.
6. Hata akiwa mwanafunzi so mbaya, ila awe na akili ya kujielewa tu!
Kama kuna binti aliye tayari kuwa nami anipm! Ili tufahamiane zaidi.