Mke wangu anagombea ubunge, sina amani

Mke wangu anagombea ubunge, sina amani

yalimoz

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
179
Reaction score
6
VIpi mkeo akiwa Mbunge na kuwa anatolewa out tena nje ya nchi na vigogo na kutoa penzi. Utavumiliana naye? Maana mke wangu anagombea, nifanyeje?
 
Mkeo akitaka kuigawa papuchi ataigawa hata kama utamfungia ndani
 
Kampeni hizi...pigia mgombea pinzani mjengoni kutakuwa mbali kama Japan
 
vumilia tu, kwani wakila wanaondoka nayo? ikirudi si na wewe unaendeleza tu. Btw haina makombo
 
Vumilia tu hapo hamna namna subir matokeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom